Siasa za ushabiki ni msumari wa moto kwetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za ushabiki ni msumari wa moto kwetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eng Mayeye, May 24, 2011.

 1. E

  Eng Mayeye Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahofia sana mfumo wa SIASA tuliouanzisha hivi sasa wa kukuza MIGOGORO na MPASUKO ktk jamii na kuitumia kama MITAJI yetu ya siasa ktk majukwaa ili tupate UMAARUFU. Hatuna fikra kama tukijaaliwa kushika HATAMU tutaiongoza jamii hii hii na huu kuwa MSUMARI WA MOTO kwetu pia.
   
 2. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kumbe na wewe bado umebakiwa na uwezo wa kuona madhara ya siasa chafu, kama
  za udini, ukabila, rushwa na ufisadi,ahadi za uongo, kutumia nguvu kupita mahitaji n.k
   
 3. E

  Eng Mayeye Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nachoamin ni kuwa siasa tuzihubirizo hivi sasa ni siasa za kumtamanisha mwananch kuwa sisi tutamletea chakula hadi mezani naye abaki na kazi ya kula tu... Tunamuahidi kuletea aina tofautitofaiti kila mara atakapohitaji. Huku tukimjaza chuki amchukie anayemuhudumia hivi sasa kuwa hamtimizii chochote... Tunajengewa kizazi cha kulaumu na cha uvivu. Naamin hata leo wakifanikiwa kuchukua nchi. Hawana uwezo wa kumtimizia mwananch yote wanayomuahidi tena kwa muda mfupi wausemao wao... Kwakuwa wamesha tufundisha tabia hizi za lawama, uvivu, ushabiki, ukosefu wa subra na maandamano, basi ni dhahiri nasi tutayafanya haya kwao tenda ndan ya muda mfupi bila ya kuwapa muda wa kujipanga.
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Join Date : 23rd May 2011
  Posts : 7
  Thanks0Thanked 1 Time in 1 Post

  Rep Power : 0  Nyie ndo mmeletwa na NAPE NNAUYE???
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  [​IMG]
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,369
  Likes Received: 3,687
  Trophy Points: 280
  Ndiyo WALE WALE wa kulianzisha halafu hawan ubavu wa kujibu hoja............. Huyo jamaa anasahau kuwa ZAMANI ukiwa AGAINST Julius UNAPOTEZWA au kufukuzwa NCHINI lakini siku hizi MAJIBU kwa MAJIBU
   
 7. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Tunakua kisiasa acha tuhangaike lakini yatupasa kufahamu kuwa sisi ni open book to the coming generation ktk siasa tutakazoziacha nyuma....

  Nape nilimsihi ktk thread moja kuwa anapaswa kuwa modernized ili kujipa sura komavu,elimishi na tumaini ndani ya chama changu ili aweze kuwavuta kizazi hiki cha tehama.
  1.introduce blog yako
  2.facebook yako itengee fursa yetu
  3.watu wa it waku saidie ai link na jamiiforums/ccm wavuti/michuzi/zito/january's etc

  hii ni safari ambayo sote ccm na ninyi cdm yatupasa tuisafiri.... Majaliwa yetu yatatokana na weledi wetu mbele ya jamii.

  Kidumu chama cha mapinduzi
   
 8. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kwanza CCM iondoke ndio tujadili mambo mengine.
  Siwezi kutumikia majizi.
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii pumba ya huyu jamaa nimeiona kule facebook...! toa unafiki ..... hapa hakuna majungu kuna findings, facts and analysis
   
 10. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kidumu eeeeeH! bado kidogo mtasema kindoo na baadae KYONDOE CHAMA CHA MAPINDUZI
   
 11. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  crap zingine pelekeni mtaa lumumba kule ndo kuna wafaa.....watanzania wamewachoka
   
 12. Mshindo

  Mshindo JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 479
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Unaniangusha sana Mhandisi mwenzangu,(if at al you are!) I expected much more from an Engineer. Hayo ya kupelekeana chakula mpaka mezani yameingiaje hapa tena? Kwneye nchi kama hii ya kwetu unaita revolutions na uamsho wa watu kujitambua na kujua na kudai haki zao kuwa ni "siasa za ushabiki"? Ni siasa zipi ziliwahi kukupendeza katika nchi hii,ambazo unatushauri tuzifuate? Ushabiki watu wanavyohimiza vita dhidi ya majangili ya uchumi wetu? Ushabiki watu wanavyotetea mkurya dhidi ya mvuna dhahabu wa kimataifa? Ushabiki watu wanavyotaka bei ya sukari ishuke ili na sie tunywe chai kama wewe? Injinia?:smash:
   
 13. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  Hatutaki tuletewe chakula mezani tunataka mbinu za kupata hicho chakula kwa wote ziwe sawa. Sio kama hali ilivyo sasa ambapo viongozi,wake zao,mahawara wao, vimada wao, wajomba zao n.k ndio wanajipendelea.
   
Loading...