Elections 2010 kwanini Familia ya BULJ na Kimbao ndio wawe wafalme wa Mafia?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Uchaguzi wa 1995 Bulj alimngoa baba kimbao alietawala zaidi ya miak 20 kisiwa cha Mafia na kukiweka ktk hali maskini ya kutupwa. Tulidhani tumejikomboa kumpa Bulj. Kumbe amezidisha matatizo.
i)Ufisadi mkubwa wa barabara.
Hospital Chafu na hazina wauguzi .
2010 Familia ya Kimbao Ilifanikiwa tena kupita ktk kura za maoni kwa tiketi ya ccm. lkn Bulj alitumia raslimali ufisadi kurudi tena bungeni.
2015 Familia ya Kimbao imejipanga kurudi tena ubunge, huku familia ikiwa ndio source ya umaskini wa Kisiwa hicho.
Mafia imebahatika kuwa na wasomi wengi ambao wapo nje ya kisiwa hicho maskini ambao wanauwezo mkubwa wa kuwalendela maendeleo yao.
 
OmarKimbausMafianHeinekenParty.jpg

hao unataka warudi 2015 si ndio hawa wanauza pombe Dar au?
 
Uchaguzi wa 1995 Bulj alimngoa baba kimbao alietawala zaidi ya miak 20 kisiwa cha Mafia na kukiweka ktk hali maskini ya kutupwa. Tulidhani tumejikomboa kumpa Bulj. Kumbe amezidisha matatizo.
i)Ufisadi mkubwa wa barabara.
Hospital Chafu na hazina wauguzi .
2010 Familia ya Kimbao Ilifanikiwa tena kupita ktk kura za maoni kwa tiketi ya ccm. lkn Bulj alitumia raslimali ufisadi kurudi tena bungeni.
2015 Familia ya Kimbao imejipanga kurudi tena ubunge, huku familia ikiwa ndio source ya umaskini wa Kisiwa hicho.
Mafia imebahatika kuwa na wasomi wengi ambao wapo nje ya kisiwa hicho maskini ambao wanauwezo mkubwa wa kuwalendela maendeleo yao.

Ndiyo matatizo ya wananchi kuamkia Baa na kwenda kupiga kura
 
Back
Top Bottom