Wazee wamlaani Kikwete, Vikongwe watoa machozi; Wasema wamamua kufa! Serikali ya JK imewadhulumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wamlaani Kikwete, Vikongwe watoa machozi; Wasema wamamua kufa! Serikali ya JK imewadhulumu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, May 23, 2011.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Baada ya Wazee wastaafu wa Jumuiya ya Africa Mashariki, kuelezwa kuwa hawana haki ya kulipwa, katika hukumu iliyosomwa leo, wazee hao wamelia na wengine kuzimia na kuanza kupepewa. Wengi wamesema kuwa Marais wote kuanzia Mwinyi, Mkapa na huyu Kikwete wameamua kuwadhulumu basi... na wao wamesema wameamua kufa tu maana hawana cha kufanya. Wazee hao walikuwa wanasikitisha, wamesema fedha hizo sio zawadi bali ni haki yao. Wameliaaaa weeeeeee lakini wapi. Mie nikahisi kuwa utawala huu hautakuwa na baraka maana wazee wetu wametoa machozi.

  Ndugu zangu Wahaya huwa wanamsemo mmoja usemao kuwa mtu mzima huwa haliii, akilia ujue ananuia " Omukulu talila, kalila aba natega" hii inasikitisha. Ikiwa wazee hao wataamua kuwaambia wajukuu zao kuwa utawala wa sasa ni wakionevu sijui itakuwaje? JK hebu angalau rudisha imani kwa hawa wazee muwape hela zao. We umeona kabisa wanalia tena kina mama wazeee, we kimyaaa na ninavyokufahamu utavumiliaaaa mpaka yaishe lakini wazee wanachokifikiria we hukijui. Mkuu kama hukuona hiii waulize tu hao TISS wakuambie ni uchuro wazee kulia namna ile nchini mwao loh!
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Hivi hii change ya RADA toka kwa Malkia haitoshi kumaliza matatizo ya hawa wazee?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mbona laana ilishaanza kufanya kazi zamani?
  We huoni wanavyojikanganya kila kukicha, mara watofautiane kauli, mara magamba, mara kuua raia kwa risasi na kuwapa kifutajasho!
  Ni laana hiyo!
   
 4. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 5,242
  Trophy Points: 280
  membe alisema, nanukuu 'pesa hiyo c ya watanzania, ni ya tanzania' mwisho wa nukuu..
   
 5. M

  MPG JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo yote ni sababu ya magamba ccm kuiba hela maligafi za watanzania,sasa ona wanadhulumu hadi wazee
   
 6. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mwenyewe nashangaaaa wakombele mbele kuilipa dowans lakini wazee wetu walaaaa, wako kimyaaa wazee hawa mwishowe wataambia wajukuu waikimbie magamba party!!!
   
 7. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa walishalaaniwa siku nyingi.
  Hao vikongwe nakumbuka walishapigwa mabomu.
   
 8. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hahahaahahaaaaaaaaa, tehjetehetehetehetehetehetehetehetehetehete, aiseeeeee hivi kama aliisema hiiiiii inabidi niifanye siganature, au wewe mwenyewe ifanye signature maana hii ni kali.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,598
  Likes Received: 82,153
  Trophy Points: 280
  Wanataka kuwalipa Dowans ($94 million) na wale RITES ($20 million) haraka haraka kwa sababu na wao watanufaika kutokana na malipo hayo. Kwa fedha za hawa Wazee ambao waliitumikia Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa miaka mingi hawana cha kufaidika hivyo wameamua kuwadhulumu haki yao wakati wenzao wa Kenya na Uganda walishalipwa miaka mingi sana.
   
 10. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Hii nchi naona kama huwa viongozi wetu huwa wanavutishwa weed wakiwa wamelala alafu asubuhi wanaamka na maamuzi ya ajabu.
   
 11. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 5,242
  Trophy Points: 280
  ija balebe! Mi nilicheka kweli baadaye ikabidi nianze kulia
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  "i am the one your mother warned you about"
   
 13. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mh. God bless Tanzanians.
   
 14. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Serikali inataka wazee wafanyeje maana hii kashfa
   
 15. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mhuuu! Naanza kupata akili sasa ni nini kinaendelea hapa! Kumbe Tanzania na Watanzania havina uhusiano! Ee Mungu naomba endelea kuturehemu maana tuliowaamini wametutupa, naomba uwashughulikie maana hata yule mlinzi wao na mtumishi wa shetani ameshaondoka pia.
   
 16. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 5,242
  Trophy Points: 280
  ija balebe! Mi nilicheka kweli baadaye ikabidi nianze kulia
   
 17. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  We LAT vipi unahisi nini hahahahahaaaa
   
 18. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  denoo49 itabidi utupe reference
   
 19. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  No! Before is Ooh Our loving father pls Rescue Tanzanians،
   
 20. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mahesabu yangu yako hivi: hao wazee ambao idadi yao ni zaidi ya 10,000 wanawakilisha familia zenye jumla ya watu 50,000 watu wa karibu -- yaani watoto mke/mme. Ukijumlisha na relatives wengine wa mbali na sympathisers jumla yao inaweza kufikia laki milioni moja.

  Overnight CCM imeshapoteza watu milioni moja from its books. This party really knows how to wind itself into oblivion!!! CDM sit back -- dont break you backs -- CCM is doing the job for ye!
   
Loading...