Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAMKO LA VIJANA WA CCM MKOA WA ARUSHA Tarehe 25/05/2011 Ndugu zangu waandishi wa habari leo tumeona tuwaite hapa ili tuweze kutoa maoni yetu kuhusiana na mustakabali wa chama chetu...
0 Reactions
146 Replies
15K Views
JE ZANZIBAR SIO NCHI..........? JE BADO TU MUTASEMA KAMA ZAZNIBAR SIO NCHI NI MKOA WA PWANI..? KAMA SIO NCHI HIZI PESA ZILITOKEYA WAPI..? KAMA HUAMINI HUTA AMINI TENA STAP ZA POST...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
- Wasomi wataka maelezo ya serikali - Wapinga masharti ya baadhi ya vifungu Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani, amepatwa na wakati mgumu kujibu maswali ya wasomi na wanazuoni wa chuo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu, hali ya muungano inaendelea kuwa mbaya. Wanaosema muungano ni imara ni viongozi tena wa chama fulani. Chuki ya wananchi wa pande hizi mbili inaendelea kukua. Sasa kwa mwenendo huo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zanzibar Daima Mtazamo wa Mzanzibari kwa Nchi yake « Balozi Seif Iddi na Waziri Nahodha jibuni hoja hizi za Uamsho Mkakati wa kuirejesha Zanzibar kwenye neema » Ya Pwani Mchangani ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani chama changu cha magamba kiko ICU. Kina hali mbaya sana. Enzi za uhai wangu nilijaribu kukilinda kwa majini na maruhani kutoka kuzimu kwa baba yangu Shetani, lakini bado nilipata wakati...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nashangaa kuona hizi taasisi mbili za serikali zinafanya siasa badala ya kufanya kazi kwa mujibu wa sheria. Mfano ni mara kwa mara tumeona TRA na PCCB wamekuwa wakijitokeza kujibu tuhuma ambazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Tanga kimewashukia viongozi wake waliohamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema kuwa ni waroho wa madaraka. Akizungumza katika mkutano wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa Mwaka 2005 kulishamiri kundi moja la watu maarufu hapa TZ liloitwa Wanamtandao. kundi hili lilianza rasmi mwaka 1995 ambalo vision na mission yake ni kuongoza Serikali ya JMT(URT)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
na Edward Kinabo, Mufindi KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataja vigogo na watendaji wa serikali wakiwamo mawaziri wawili na wabunge...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Vedasto Mathayo ameomba arudishiwe madawati yake yenye thamani ya shilingi milion 18 aliyoyatoa kwa shule mbali mbali...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Ni kwamba mgombea urais kwa tiketi ya UPDP, ametangaza kuwa kura zake zote (waliopanga kumpigia) ziende kwa mgombea wa ccm, JK. Sababu kukosewa jina lake kwenye fomu za uteuzi. Tutarajie mengi...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa ametolea ufafanuzi hati ya kukamatwa kwao yeye na viongozi waandamizi wa Chadema iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Arusha,amesema kuwa waliomba ruhusa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
RAI YA JENERALI Maandiko 12 ukutani, nasi twacheza nachi Jenerali Ulimwengu Mei 25, 2011 KATIKA makala yangu iliyopita nilisema kwamba tunatakiwa kuacha kupiga chenga masuala...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
i do not believe if Tanzania have such mental thinking. The Global of bussines is looking Tanzania as people of same thinking. Chadema now is a problem to the country. They are not a political...
3 Reactions
265 Replies
21K Views
Tarime ninavyoifahamu kwa mavurugu,nashangaa kwa nini Nguvu ya umma haikutumika kama ilivyotokea Arusha, pindi Tundu Lissu alivyokamatwa na kutiwa lupango.Kilicho mpeleka Tundu Lissu Tarime ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By In2EastAfrica - Thu May 26, 8:47 pm Richmond agent, Mr Naeem Gire, is charged with five counts of forgery and uttering forged documents to the Tanesco Tender Board in regard to the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), John Cheyo amekataa kusikiliza maelezo yoyote ya utetezi na kuwatimua viongozi wa Mkoa wa Lindi, baada ya kubaini ufisadi wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1.Awe na uwezo wa kiakili (redeemed intelectual capacity) 2.Anamudu majukumu yake kiufasaha 3.Anaweza kuomba radhi akifanya makosa ya kiutendaji 4.Anaweza kuachia ngazi kwa hiari akishindwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BAADHI ya Watanzania wanaamini kuwa serikali na uongozi uliopo nchini hivi sasa utaitendea haki katiba mpya na kuwatendea haki wananchi wa nchi hii kwa kukubali kuwepo kwa Baraza la Katiba Mpya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…