Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa kahama james lembeli ameunga mkono migomo na maandamano vinavyoendelea hapa nchini kwa kudai kuwa tanzania sio kisiwa kwa kuwa migomo na maandamano vinatokea pote duniani. Lembeli pia...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Raya Khamis ahoji, tokea tupate uhuru hakuna IGP aliyetokea Zanzibar na vile vile kuhusu swala zima la ajira linaupendeleo sana,watu wazanzibar wanatengwa.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mbunge wa kahama james lembeli ameunga mkono migomo na maandamano vinavyoendelea hapa nchini kwa kudai kuwa tanzania sio kisiwa kwa kuwa migomo na maandamano vinatokea pote duniani. Lembeli pia...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Ndugu Wananchi:Hali ya umeme nchini kwa hivi sasa ni mbaya zaidi kuliko ilivyokuwa tarehe 31 Januari, 2006. Mgao wa umeme niliosema siku ile kuwa unaweza kuanza wakati wowote umeanza na unaendelea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naamini utovu wa nidhamu alioonyesha Shibuda bungeni juzi hauvumiliki. Naamini CDM hakuna kulindana. Shibuda ana uhuru wa kuwa na mawazo tofauti lakini sio uhuru wa kutukana wenye mawazo tofauti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki hii nimekuwa nikipitia Vichwa vya habari vya magazeti yetu yakiwepo ya Chama na Serikali, Chadema inaongoza kwa kuandikwa sana, hata gazeti la Uhuru front page limeruka na habari ya Chadema...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wednesday, 29 June 2011 21:15 Boniface Meena CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaondoa makatibu wake wa mikoa zaidi ya sita nchini ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wake wa kujivua gamba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kaanza kwa kutoa angalizo kuwa atakayoongea hata kama yatawauzi wengine ni kutofautiana kimawazo tu
0 Reactions
230 Replies
17K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo tayari kuwapoteza madiwani wake watatu waliohusika kumaliza kinyemela mgogoro wa kumpata meya wa Manispaa ya Jiji la Arusha, kwa maridhiano ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi jana nimepata kuona wananchi wakiwa na jazba na hamasa kubwa kumwona Mh Japhet Nanyaro diwani wa kata ya Levolosi (CHADEMA) akitembea kwa mguu maeneo ya stand ya viford huku kundi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Thursday, June 30, 2011, 7:32 Makala na Uchambuzi, Rai Na Emmanuel J. Shilatu BABA wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliwahi kuja na falsafa yake kuhusu dhana ya maendeleo. Kwa kutumia hekima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Juzi kwenye kikao cha Bunge, Mh. Salum Baruan (Lindi Mjini-CUF) wakati anachangia mjadala ya bajeti ya office ya Waziri mkuu alisikika akisema kuwa Rais ni zaidi ya sheria. Sasa mimi nauliza Rais...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
"Tuko tayari kuendelea kuisaidia Tanzania kama mtatupa vipaumbele vyenu," Mwenyekiti mwenza wa Mfuko wa Bill na Melinda Gates, Bill Gates alimwambia Rais Kikwete jana mchana alipofika Ikulu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
INGAWA siasa ni mchezo uliojaa uchafu, hadaa na kujilisha pepo, lazima unahitaji kutumia akili. Pamoja na uchafu wake, bado siasa ni kitu ambacho hatuwezi kuishi bila kuwa nacho. Je, tukubali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nini neno maamuzi magumu lisikike sana sasa na siyo wakati wa urais wa Benjamin William Mkapa, au Ali Hassan Mwinyi au wakati wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Kwa kiongozi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara kadhaa tumesikia kauli za wabunge wa CCM 'wakiwaasa' wanafunzi wa vyuo vikuu wasijihusishe na siasa mavyuoni. Kauli kama hizi pia zimekuwa zikitolewa na viongozi mbalimbali akiwepo Nape, na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katiba ndio pekee itatuwezesha kupanga na kujua bajeti ya ikulu kwani kwa sasa watanzania hawatakiwi kuuliza,kuhoji,kujua au kutangaziwa,ni kitu nyeti sana ila safari za rais lazima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KWA KUWA SHIBUDA "AMEISALITI" KATIBA YENU KAMA MNAVYOSEMA ("Maana yake hakiamini chama, hivyo hafai kuendelea kuwa mwanachama na mbunge wa chama hicho,"alisema Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sasa huyu Mkamia ndio Ametumwa na Mafisadi wa kodi zetu aje atetee unyonyaji wa hali ya Juu, msikilize anavyoongopa, Anasema Eti pesa ya anayolipwa kama sitting allowances anatumia kama pesa za...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo katika mbunge pamoja na shutuma mbalimbali , ndg stella manyanya kama mbunde alisema amekuwa anapata message za simu na baada ya kufuatili amegundua zinatoka kwa mke/mchumba wa dr slaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…