Tajiri wa kutupwa Bill Gates alipokutana na JK Ikulu + picha

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
View attachment 32925

"Tuko tayari kuendelea kuisaidia Tanzania kama mtatupa vipaumbele vyenu," Mwenyekiti
mwenza wa Mfuko wa Bill na Melinda Gates, Bill Gates alimwambia Rais Kikwete jana
mchana alipofika Ikulu kumsalimia.

Rais Kikwete amemshukuru Gates na mkewe Melinda kwa msaada wao mkubwa wanaoupatia
Tanzania.

Gates, ambaye ni tajiri mkubwa kuwahi kutokea duniani na mkewe Melinda, wapo nchini kwa ziara binafsi ya kifamilia na wametembelea mbuga za Serengeti na shughuli nyingine za kikazi, ikiwemo kukagua miradi ya Mfuko huo iliyopo nchini.

Source: Habari Leo
 
Sasa ujio wa jamaa mbona wameufanya siri? au magamba wanataka kuteka nyara misaada yake waseme wao?
 
Back
Top Bottom