Kwa hili CHADEMA wasitoe siku 90. Wa-act immediately | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili CHADEMA wasitoe siku 90. Wa-act immediately

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Jun 30, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Naamini utovu wa nidhamu alioonyesha Shibuda bungeni juzi hauvumiliki. Naamini CDM hakuna kulindana. Shibuda ana uhuru wa kuwa na mawazo tofauti lakini sio uhuru wa kutukana wenye mawazo tofauti na yeye na kuwaita wabunge maslahi.

  Kama viongozi wa CDM walimuacha Shibuda kwenye chama, kweli nitajua kuwa wabunge wote wa CDM ni wabunge-maslahi.

  Nawasilisha.
   
 2. m

  mob JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  kwa minajili ya kujenga chama imara hapa ndo maamuzi magumu yanatakiwa kwa maslahi ya nchi
   
 3. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  wabunge maslahi ni yeye na wenzie wa ccm, hajatukana cdm ila amejipambanua yeye ni mtu wa aina gani!
   
 4. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamenifutia thread yangu, ilikuwa inafanana sana na hii. kwa hakika sasa mambo yamefika pazuri. wafanye kwa vitendo wasiishie kunyooshea vidle wengine.
   
Loading...