Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
Kaanza kwa kutoa angalizo kuwa atakayoongea hata kama yatawauzi wengine ni kutofautiana kimawazo tu
 
ansema uzalendo na utiifu ni kitu cha kuwekwa kipaumbele. anampa sapoti lowasa kuwa kweli maamuzi magumu hayafanywi
 
ansema uzalendo na utiifu ni kitu cha kuwekwa kipaumbele. anampa sapoti lowasa kuwa kweli maamuzi magumu hayafanywi..kabla ya hapo alimshukuru mbowe na Vviongozi wa chama
 
Akemea watu kufumbia macho mabaya ya viongozi, wanaotenda uovu wakemewe, mtu wa upinzani asikilizwe pia, ameshukuru kuondoka CCM wanakofichiana uovu.
 
anakosoa kupinga hoja za wapinzani hata kama wana hoja ya msingi. anasema kama ndo hivyo basi tufute upinzan kuwe na chama kimoja tu.
 
anaongelea posho..anasema wakati wa mkoloni yaliitwa ujira! anasema zibadilishwe ziitwe ujira wa mwira
 
halafu hakosei,
lakini anaaminika???????kwa nini ndugu zetu kutoka kanda ya ziwa inakuwa ngumu kuaminika???????
 
wakuu mnaangalia kwene comp zenu au? mnatisha mana mi niko kwenye tv lakini kila akimaliza kusema naiona jf. com. yangu iko pembeni any way, safi sana
Awakumbusha CCM kujivua gamba si kumaliza kikwapa, kikwapa chamalizwa na udi!
 
anasema mwanasiasa akistaafu anakuwa hohehae..so serikali iwaangalie!..anasema huo ujira wa mwiha uwepo ili wachangie misiba,kuchangia majeneza,harusi etc.. anasema posho iongezwe na isifutwe ikiwezekana iwe laki tano
 
Mbunge Shibuda anasema posho ni haki ya mbunge na inaitwa "UJIRA WA MWIHA" na anasema hautoshi na uongezwe hadi laki tano, kuna mbunge kapiga vigelegele kushangilia..
 
Back
Top Bottom