Hivi ni kweli Rais yuko juu ya Sheria? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli Rais yuko juu ya Sheria?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FJM, Jun 30, 2011.

 1. F

  FJM JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Juzi kwenye kikao cha Bunge, Mh. Salum Baruan (Lindi Mjini-CUF) wakati anachangia mjadala ya bajeti ya office ya Waziri mkuu alisikika akisema kuwa Rais ni zaidi ya sheria. Sasa mimi nauliza Rais yuko juu ya sheria? Kwa nini aliapa kuwa atatenda kwa mujibu wa sheria na kuilinda katiba ya nchi?

  Bunge linaangaliwa na watu wengi wakiwepo watoto wa shule, hivyo nilitemea kiongozi wa mjadala i.e Speaker, mwenyekiti wa bunge atoe ufafanuzi ili watu na hasa watoto wanaofuatialia vikao vya bunge wasipate maana potofu juu ya utawala wa sheria.
   
 2. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ibara ya 13 (1) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inasema nanukuu' watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria' mwisho wa kunukuu...hivyo mbunge wa cuf aliongea kishabiki na kipambe bila kujua anachosema au hajui katiba yake inasema nini...
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  Yes! But only in tanzania
   
 4. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  I strong agree with you pal

   
Loading...