Chadema: The most popular political party in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema: The most popular political party in Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpanzi, Jun 30, 2011.

 1. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Wiki hii nimekuwa nikipitia Vichwa vya habari vya magazeti yetu yakiwepo ya Chama na Serikali, Chadema inaongoza kwa kuandikwa sana, hata gazeti la Uhuru front page limeruka na habari ya Chadema, kila mahali kwenye mikusanyiko ni Chadema, mpaka Serikali na Bunge wanaugua Chadema fever, hali ikiindelea hivi 2015 CCM itakuwa ishasaahaulika, haisikiki!
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  asie ipenda CHADEMA , anaumwa ugonjwa wa umaskini wa akili hauna Tiba, CHADEMA ni chama cha Watanzania
  [​IMG]
   
 5. m

  mob JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  kwa kufanya hivi taifa litakombolewa
   
 6. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  CHADEMA IS Real Famous, kila mahali CHADEMA..! Kweli kabisa..yani kila ukitembea, kwenye safari, I mean Mabasi makubwa ya mikoani, daladala..hata kama hawapendi lakini wanajua kuwa ipo! Ni kama Wimbo wa Hussein Machozi..."" Utaipendaa Utaipendaaaa, kwa chuki, kwa wivu...utaipendaaaa!""
   
 7. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Siku zote chema chajiuza...
   
 8. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wewe unatakaje hasa hapo palipokolezwa mkuu? Unataka raslimali za wa TZ ziendelee kuibwa na watu wachache wanaogawiana vyeo na kurithishana ili kulinda uhalifu huu? Unataka mabenki ya nje zaidi kujaa mapesa yetu yanayoporwa kwa vigezo vya kuleta wazungu nje ya migongo ya mafisadi?
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Chama dume hiki.
   
 10. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwaka 2005 hali ilikua hivi hivi!
   
 11. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huyu mtoto amemaliza lini mgambo hadi avae gwanda! Hahahahahah Chama cha Magwanda!
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  CCM kushinehi!!2015 hawana kitu tena!!
   
 13. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kimoyomoyo utaisoma...kama mwaka 2005 haikuwa hivihivi.

  View attachment 32929
   
 14. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kweli CDM ni most popular sio TZ tu world wide mazee pipoooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
   
 15. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CDU wanajua chadema ni chama cha kina nani unajua kila chama kina wenywe? na wenyewe wanajijua!
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Magamba Bye byeeeeee
   
Loading...