sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 644
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Raya Khamis ahoji, tokea tupate uhuru hakuna IGP aliyetokea Zanzibar na vile vile kuhusu swala zima la ajira linaupendeleo sana,watu wazanzibar wanatengwa.
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Raya Khamis ahoji, tokea tupate uhuru haukuna IGP aliyetokea Zanzibar na vile vile kuhusu swala zima la ajira linaupendeleo sana,watu wazanzibar wanatengwa.
Acha upuuzi, rejea kwenye hoja
Mbunge wa kahama james lembeli ameunga mkono migomo na maandamano vinavyoendelea hapa nchini kwa kudai kuwa tanzania sio kisiwa kwa kuwa migomo na maandamano vinatokea pote duniani. Lembeli pia amesema migomo ilikuwepo tangu enzi za mwalimu na kuna watu ambao walichapwa viboko ambao leo hii ni wabunge. Pia kasema inasikitisha wanafunzi wanapanga foleni kwenye benk masaa matatu halafu wakiingia ndani wanaambiwa pesa hazijaingia, katika hali kama hii ni vigumu kwa wanafunzi kukaa kimya hata angekuwa yeye angelalamika. Ameitaka serikali itoe mikopo kwa wakati ili kuepusha migomo. Lembeli pia amewataka wabunge kuacha kujadili mambo ya migomo na maandamano bungeni badala yake waielekeze nini cha kufanya kuliko kunyoosheana vidole. Source: bungeni dodoma.
Wabunge wa magamba wanatakiwa wakalishwe chini wachezwe kama mwali ndiyo huenda wataelewa!Mbunge wa kahama james lembeli ameunga mkono migomo na maandamano vinavyoendelea hapa nchini kwa kudai kuwa tanzania sio kisiwa kwa kuwa migomo na maandamano vinatokea pote duniani. Lembeli pia amesema migomo ilikuwepo tangu enzi za mwalimu na kuna watu ambao walichapwa viboko ambao leo hii ni wabunge. Pia kasema inasikitisha wanafunzi wanapanga foleni kwenye benk masaa matatu halafu wakiingia ndani wanaambiwa pesa hazijaingia, katika hali kama hii ni vigumu kwa wanafunzi kukaa kimya hata angekuwa yeye angelalamika. Ameitaka serikali itoe mikopo kwa wakati ili kuepusha migomo. Lembeli pia amewataka wabunge kuacha kujadili mambo ya migomo na maandamano bungeni badala yake waielekeze nini cha kufanya kuliko kunyoosheana vidole. Source: bungeni dodoma.
Mkuu asante,me nnadhani mtu akijiunga na ccm tu anapata virus automaticallyha ha haaa mkamia hataki watu waandike jinsi zitto alivyomvuruga juzi bbc... Ukweli lazima usemwe hata kama unauma sasa yeye alipokubali mdahalo na zitto alifikiri wanaenda kutoa shukrani kwa spika, mkewe na mifugo yake? Wabunge wa ccm bana..