Maamuzi magumu

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
Kwa nini neno maamuzi magumu lisikike sana sasa na siyo wakati wa urais wa Benjamin William Mkapa, au Ali Hassan Mwinyi au wakati wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Kwa kiongozi hasahasa maamuzi magumu hayapo. Kwa kiongozi dhaifu kila maamuzi kwake ni magumu!
 
duh, hata kukujibu hapa inahitaji maamuzi magumu...n'naweza kula ban!!!
 
Back
Top Bottom