kuna taarifa zimepatikana kuwa ofisi nyingi za serikali tanzania zimeshikiliwa na wageni waliojipenyeza tanzania miaka mingi na kufanywa watanzania na watu maalum wanaofanya juu chini kuhakikisha...
Na Nova Kambota,
Binafsi nimeshtushwa sana na kauli za baadhi ya wana CCM kuwa chama chao kimeshajivua gamba , wanatumia mabadiliko ya safu ya uongozi ndani ya chama hiko yaliyofanyika hivi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Msingi wa Maendeleo ni Haki.
"Ninawasalimu wote .
Hivi karibuni tarehe 21 Juni 2011 siku ya jumatano kuna taarifa nyingi ziliandikwa katika vyombo vya habari...
sheria ya 1984 na 15 ib 6 (2)kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhim kwa maisha na shughuli za wananchi na pia juu ya...
Na Saed Kubenea
RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kukaa kimya huku viongozi wake wakianza "kutoana roho" kwa urais wa 2015, MwanaHALISI limeelezwa.
Benard Membe, waziri wa mambo ya nje na...
LAZIMA TUISAIDIE CCM SASA.
Kwa muda mrefu napata shida kujua wapi kama taifa tunaelekea wapi?Maswali ni mengi zaidi kuliko majibu.Kwanza wenzangu tukubaliane kuwa hii ni nchi yetu sote bila...
Nimeshangazwa na siasa zinazoendelea kichinichini kuhusu umri wa Chuo Kikuu Cha D'Salaam.
Kuna pililapilika za kusherehekea miaka 50 ya Chuo hicho ifikapo October mwaka huu.
Maana yake ni...
mimi mwanajf nawapongeza madiwani wa cdm kufikia muafaka na cha ccm kule arusha huu ndio ukomavu wa kisiasa, namshanga slaa kuunda kamati wakati taarifa za vikao vya muafaka alikuwa nazo, je...
wengi tunapenda kuangalia chanel nzuli za michezo talif nk tatizo vipato inasemekana kunanjia ya kufunguwa hex key aina zote kwa galama ndogo mf conax nk mwenye maujanja tafadhali
Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za...
Wakuu,
Katika kitu ambacho bado sielewi ni kuwa hivi kweli serikali yetu inao utashi wa kumaliza tatizo SUGU la umeme? Wakati tunakumbwa na power rationing 2006, kama nakumbuka vizuri serikali...
Juz niliposikia JK anakwea pipa kwa mara nyingine nikakumbuka kipindi cha uchaguzi alipokua Urambo Mashariki na Magharibi akiwanadi wagombea wake Sitta na Kapuya alisema kwa mbwembwe kwamba...
Hapa namaanisha. Namheshimu sana Prof. Ana ila mkinipa mawazo na weakness za prof, nmna ya kuingia na jinsi ya kuchukua ubunge baada ya prof. au kipindi kijacho ili niwatumikie wananchi.
Binafsi...
huyu spika amezidi kumbeba waziri mkuu pinda sana! Imefikia hatua anazuia maswali yanayoelekezwa kwa pinda. wiki ya pili sasa hakuna kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa sababu zisizoeleweka...
Nimewahi kundika kuwa katika semina elekezi moja ya jambo la msingi vingozi wetu( Mawaziri, makatibu wakuu, Wakurgenzi wa Idara, RC, DC, RPC, CEO) na hata wakuu mwashiika makubwa wanataiwa kupigwa...
Kwa sasa ukisema nani katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi, watanzania wengi wanaweza wakakupa jibu, ila ukiuliza hivi nani alikuwa na hicho cheo kabla ya Nape Mnauye nadhani ni wana-CCM (sio...
Katika ripoti yao SFO walisema ukiachia pesa alizowekewa kwenye account zao CHENGE NA IDRISA RASHID kuna pesa zingine
zilitumwa USWISS kwenye account za watu ambao hawakuweza kuwatambua kulingana...
kuna kila dalili kwamba mkakati mzito umepangwa kukidhoofisha chama cha demokrasia na maendeleo (chedema) kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Baadhi ya mambo ambayo yanatokea hivi sasa ndani ya...
Ndiyo fedha wanazolipwa zitatumika katika miradi ya maendeleo
69
57%
Ndiyo italeta mabadiliko katika matumizi sahihi ya fedha za Serikali
37
30.6%
Hapana inalenga kuwapa wabunge wa...