Tanzania-nafasi nyeti zimeshikiliwa na wageni

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
kuna taarifa zimepatikana kuwa ofisi nyingi za serikali tanzania zimeshikiliwa na wageni waliojipenyeza tanzania miaka mingi na kufanywa watanzania na watu maalum wanaofanya juu chini kuhakikisha tanzania inashikiliwa na wageni,
kwa mujibu wa habari zilizopatikana hapa johannesburg,watu kutoka burundi,rwanda,congo,uganda,wakenya,ambao kila kukicha wanakuja na passport za tanzania wamesema kuna wagrni wengi wanafanya kazi wizara ya mambo ya ndani ofisi inayojishughulisha na utoaji passport,
wakenya waishio hapa wamewasiliana na ndugu zao kenya ili waende tanzania wakachukue passport kwa sababu passport za tanzania haziitaji viza kuingia south africa
kuna majina mengi tumepewa na warundi na wakenya ya watu wanaofanya kazi hapo na ambao kazi yao ni moja tu,kuhakikisha tanzania inatawaliwa na wageni miaka nenda rudi,
chama cha mapinduzi kimekuwa sababu kubwa ya hao wageni kupenya na kuingia kwenye nafasi muhimu,
taarifa zinasema wengi wa wageni ni wanachama hai wa chama cha mapinduzi,
taarifa hiyo imeendelea kunena kuna genge la wahindi kazi yao ni kuingiza wahindi kutoka india na pakistan na kuwapatia passport za tanzania na kuwafanyia mipango ya kusafiri kama watanzania.
habari ndiyo hiyo
 
Back
Top Bottom