Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali ya kushangaza, bunge la leo kwa vipindi vyote viwili asubuhi na jioni limeisha uku likiacha wabunge wananungunika: hoja zimetolewa-wabunge wakaomba mwongozo wa spika pamoja na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
SIAMINI kama siasa ni mchezo mchafu kama ambavyo watu wengi wanavyodhani, isipokuwa siasa ni njia ya kuwapitisha viongozi waadilifu wanaoweza kujua wapi tulipo toka na wapi tunapokwenda. Siasa...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Habari za jioni wakuu Kwa muda sasa nimekuwa nikipitia pitia thread katika jukwaa hili na kwa kusema ukweli, mengi yasemwayo yanaumiza saaana. Yapata miaka 50 sasa tokea tupate uhuru. Serikali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dakika tano zilizopita umeme umekatika/umekatwa ndani ya majengo yote ya ukumbi wa Bunge na hivyo kulifanya bunge kutokuweza kuendelea . Alikuwa waziri wa Afya ndio ameanza kutoa majibu ya hoja...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Napata shida sana kusikia na kuona kuwa serikali yangu inaridhia muunda wa kiutawala Jijini Dar ambao unatuonyesha kukosa umakini katika kupunguza matumizi ya fedha za umma yasiyo ya Lazima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hebu Mnisikilize! Can somebody tell with an independent mind! Muungano wa Tanganyika na Unguja (ati Zanzibar) una faida gani kwa Tanganyika? Hebu tuangalie nchi nyingine zilizo katika muunganiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hili swali linawasumbua wengi!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The economist wanasema tz ni ya saba kwa kupewa misaada duniani ati twaambatana na nchi kama iraq,sudan tena nchi ambazo daily wanapigana!What a shame!Biga up Kafulila kwa izo statistics bungeni jana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kafulila David katumia muda mwingi kuichana vema serikali kwa vigogo kupata matibabu nje ya nchi, huku Mh. Maige akijaribu kuelezea watoto wake walioko kijijini bila kutaja fungu na kuonekana hana...
4 Reactions
119 Replies
11K Views
Nianze kwa kusema jamani tembea uone. Wiki iliyopita nilisafiri kwa gari yangu nikitokea south africa ili nije nyumbani tanzania kwa likizo ya mwezi mmoja. Nimepita vizuri katika nchi zote...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
KAMATI Kuu ya chama cha TLP imeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kupangua uteuzi wa madiwani wa viti maalumu na wa mkoani Arusha ambao waliteuliwa kwa nyaraka za kugushi na kutaka wahusika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania ina matatizo mengi. Miongoni mwao ni yale matatu ya ASILI kutoka kwa Baba wa taifa ambayo ni (1) Umaskini; (2) Ujinga na (3) Maradhi. Haya ymeendelea kuwepo kwa kuwa na yafuatayo:- a)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
magdalena sakaya mbunge wa viti maalum wa cuf jana amewasilisha ushahidi kwa spika wa bunge juu ya yale aliyozungumza wiki moja iliyopita juu ya wakuu wa wilaya kuchukua mifugo ya wanainchi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sina maneno, check mchoro
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kumbukumbu zangu Dr. Mwakyembe ndiye alikuwa wa kwanza kupigia debe kupandishwa kodi katika mafuta ya taa, sasa yametimiaNB; LEO NIMENUNUA LITA MOJA YA MAFUTA YA TAA KWA TSH. 2400,, WAPI...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Askofu wa Kanisa la Blessing Alter lililopo mkoani Arusha, Isaya Sizya, amesema anashangazwa na hatua ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kukataa mwafaka uliofikiwa hivi karibuni na kuondoa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kafulila kazua jambo SERIKALI LEGE LEGE haiwezi kukusanya kodi. Duh Bunge shurti hakuna mwelekeo lakini message delivered.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza EL amesema amezua mjadala juu ya serikali kushindwa kuchukua maamuzi magumu kwa hyo wananchi wataamua juu ya kauli yake.
1 Reactions
74 Replies
10K Views
SIKU chache baada ya Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda (CHADEMA) kupingana na msimamo wa chama hicho kwa kuunga mkono posho, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, amesema...
5 Reactions
267 Replies
25K Views
Jee ktk ukushanyaji wa maoni ya Katiba, Z’bar itakuwa na maoni yake binafsi au tutaingizwa ktk mkumbo wa Tanzania?Written by amini // 12/07/2011 // Habari // No comments Ashekelea Sudani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…