Umeme wakatika ndani ya Ukumbi wa Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wakatika ndani ya Ukumbi wa Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja, Jul 12, 2011.

 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Dakika tano zilizopita umeme umekatika/umekatwa ndani ya majengo yote ya ukumbi wa Bunge na hivyo kulifanya bunge kutokuweza kuendelea .

  Alikuwa waziri wa Afya ndio ameanza kutoa majibu ya hoja mbalimbali za wabunge kwani ndio anahitimisha hotuba yake muda huu .


  Hivi ni kweli kuwa Bunge halina generator ambazo ni automatic kwa ajili ya kutoa huduma za umeme pindi ukikatika?


  Ntawajuza nini kinaendelea punde .
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sishangai.
  Nasubiri kutangazwa kwa tume nyingine ya kuchunguza sababu za kukatika kwa umeme huko kwenye jengo la posho. Kama ambavyo amekuwa akiahidi Ngeleleja kuwa mgawo wa umeme utakuwa historia, na kweli amefanikiwa. Ni historia kubwa.
   
 3. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  aTUNASUBIRI TUME NYINGINE IUNDWE. HII NI NCHI YA TUME. EVERYTHING NI TUME TU.
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sawa sawa, manake wamezidi ufisadi hao.
   
 5. T

  The Priest JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mbona mi naangalia bunge sasa hakuna kitu ka hicho.
   
 6. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hili swala la kukatikakatika kwa umeme sasa limekuwa unbearable...can someone at least be mature enough to show some responsibility for this mess please?
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sina nia mbaya lakini ili kutoa msukumo sahihi, na kama mungu anasikia naomba umeme ukatike bungeni na standby generators (zoooote) zigome walau kwa siku nzima ili wabunge wajue wajibu wao wa kuisimamia serikali hasa Wizara ya Nishati. Kila kitu kizimike!
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hilo Bunge ni la Tanzania au wapi??, sababu mimi hapa ninaangalia Bunge na nina uhakika ni Live unless macho yangu yananidanya na ninaota ndoto za mchana na sababu hili ni jukwaa la siasa kwahiyo hii sio Joke...:(

  Please Kiranja naomba ufafanuzi
   
 9. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni bunge la Tanzania , ilikuwa mara baada ya naibu waziri kumaliza kusema aliposimama waziri wa afya umeme ulikatika ukumbini8 na ulichukua dk 5-7 majenereta yakawashwa na sasa wanatumia majenereta , ni bahati kuwa TBC hawatumii umeme wa bunge bali jenereta nao wangepotea , ila waliokuwa star tv wameona ilipoitea kwa muda
   
 10. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mhh!!!

  Haya ndo mambo ya kujivunia miaka 50 ya uhuru...
   
 11. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi Ngeleja hajui tu nini cha kufanya mpaka sasa?? Anasubiri nini ofisini sasa??? Anangoja kufukuzwa kazi kwa aibu??? JIUZULU kaka uwapishe wanaoweza kusimamia wizara hii.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tumejaribu, Tumeweza, Tunasonga mbele! sijui nani alibuni hii kauli mbiu ya miaka 50!
   
 13. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Kwan wao hakina nani,acha ukatike tena mambo makubwa yanafata zaidi.
   
 14. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Mi naomba ukatike nchi nzima na tuandamane na kufukuza Fisadi Kikwete Magogogni Mwizi mkubwa asiye na aibu, hana hata upeo wa kufikiria na wakusoma nyakati FUKUZA MWIZI MAGOGONI
   
 15. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nadhani alimaanisha "Tumejaribu, Tumeshindwa, Tumesimama na hatutaki kuwapisha wengine"
   
 16. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Ngeleja hasipojiuzulu, nani unategemea atamfukuza kazi kwa aibu? Acha ndoto za mchana ndugu yangu!!!! Hakuna kitu kama kufukuzwa kwa kuwajibishwa kwenye serikali ya JK. Ngeleja sio wingu la mvua kulifanya bwawa la mtera kujaa maji!!!! Teteeeeteee!!!!!

  Tiba
   
 17. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hii nimeipenda 'JENGO LA POSHO'
   
 18. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  nini??
   
 19. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tusubiri siku moja umeme utakatika kwenye ndege ya ******
   
 20. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kwani kuna maeneo ambayo umeme ukikatika inakuwa habari?
   
Loading...