Miaka 50 ya uhuru na umaskini.... Watanzania tuwatoe hawa wakoloni weusi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uhuru na umaskini.... Watanzania tuwatoe hawa wakoloni weusi jamani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by futikamba, Jul 12, 2011.

 1. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari za jioni wakuu
  Kwa muda sasa nimekuwa nikipitia pitia thread katika jukwaa hili na kwa kusema ukweli, mengi yasemwayo yanaumiza saaana.

  Yapata miaka 50 sasa tokea tupate uhuru. Serikali yetu inahangaika kuandaa sherehe kwa mabilioni ya pesa, kutetea posho na wao kujipendelea ktk kila sekta hali watanzania walio wengi wanaishi kwa kipato chini ya $1. Hali ni mbaya sana. Nawashangaa kweli hawa viongozi wetu.

  Juzi nimeangalia taarifa ya habari hapo ITV walionyeshwa wamama na watoto wadogo wakiokota mabaki ya chakula na mkaa jalalani ili kuweza kukidhi njaa zao. Jamani!! tena ni dodoma ambako muheshimiwa waziri mkuu wetu alisema kwamba posho zinawasaidia omba omba nje ya bunge. Inauma sana asee... Huo ni moja tu ya mifano miiingi sana ambayo ukifikiria, inasikitisha sana.

  Natoa wito sasa kwa watanzania kusema BAAASI. Uvumilivu na utushinde sasa, utu wa viongozi wetu umegeuka wa kinyama sana. Hata sijui hawana ile "guilty conciousness" kwenye nafsi zao??? Wakati wao wakiendelea kwa ari, nguvu na kasi zaidi kuandaa hilo lisheree lao la miaka 50 ya uhuru na umaskini na sisi tujipange kufanya maandamano ya amani nchi nzima kuwakosoa katika kila idara. YES WE CAN. Nani sasa atatuondoa katika dimbwi hili la umaskini wa kutupwa kama sio sisi wenyewe? Huu sasa si uvumilivu bali ni upumbavu (samahani kwa neno hilo, kama muelewa utaelewa tu maana yangu). Tujikomboe jamani....

  FK
   
 2. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Usisahau na mzigo wa kuibeba Zanzibar.
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  W

  Wenyewe wanasema wanaibeba Bara!
   
 4. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hao nao naona tuwaachie tu wajiendee zao kwani wao nd'o wata-loose zaidi, sio sisi.
  "Mtoto akililia wembe........................................................."
   
 5. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Tanzania ndio basi tena. The way mambo yanavyoendeshwa na inchi inakoelekea, tumeshafikia point ya kuwa one of the Never to Develop Countries
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kamsome tena George Orwell katika kitabu chake cha ANIMAL FARM...hautashangaa tena kwa yanayotokea TZ!

  Fungua hii:
  http://www.george-orwell.org/Animal_Farm/index.html
   
 7. j

  join9527 Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG] futikamba

  Yesterday 08:23 PM
  #1 [​IMG]
  [​IMG] Senior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  Join Date : 18th January 2010
  Posts : 178

  Rep Power : 22  [h=2][​IMG] Miaka 50 ya uhuru na umaskini.... Watanzania tuwatoe hawa wakoloni weusi jamani[/h]
  Habari za jioni wakuu
  Kwa muda sasa nimekuwa nikipitia pitia thread katika jukwaa hili na kwa kusema ukweli, mengi yasemwayo yanaumiza saaana.

  Yapata miaka 50 sasa tokea tupate uhuru. Serikali yetu inahangaika kuandaa sherehe kwa mabilioni ya pesa, kutetea posho na wao kujipendelea ktk kila sekta hali watanzania walio wengi wanaishi kwa kipato chini ya $1. Hali ni mbaya sana. Nawashangaa kweli hawa viongozi wetu.

  Juzi nimeangalia taarifa ya habari hapo ITV walionyeshwa wamama na watoto wadogo wakiokota mabaki ya chakula na mkaa jalalani ili kuweza kukidhi njaa zao. Jamani!! tena ni dodoma ambako muheshimiwa waziri mkuu wetu alisema kwamba posho zinawasaidia omba omba nje ya bunge. Inauma sana asee... Huo ni moja tu ya mifano miiingi sana ambayo ukifikiria, inasikitisha sana.

  Natoa wito sasa kwa watanzania kusema BAAASI. Uvumilivu na utushinde sasa, utu wa viongozi wetu umegeuka wa kinyama sana. Hata sijui hawana ile "guilty conciousness" kwenye nafsi zao??? Wakati wao wakiendelea kwa ari, nguvu na kasi zaidi kuandaa hilo lisheree lao la miaka 50 ya uhuru na umaskini na sisi tujipange kufanya maandamano ya amani nchi nzima kuwakosoa katika kila idara. YES WE CAN. Nani sasa atatuondoa katika dimbwi hili la umaskini wa kutupwa kama sio sisi wenyewe? Huu sasa si uvumilivu bali ni upumbavu (samahani kwa neno hilo, kama muelewa utaelewa tu maana yangu). Tujikomboe jamani....

  FK ​  Life is full of suprises....

  [​IMG] [​IMG] Reply [​IMG] Reply With Quote [​IMG]

  [HR][/HR]
  [​IMG] Makaimati

  Yesterday 09:04 PM
  #2 [​IMG]
  [​IMG] JF Senior Expert Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  Join Date : 4th April 2011
  Posts : 441

  Rep Power : 22  [h=2][​IMG] Re: Miaka 50 ya uhuru na umaskini.... Watanzania tuwatoe hawa wakoloni weusi jamani[/h]

  [​IMG] By futikamba [​IMG]
  Habari za jioni wakuu
  Kwa muda sasa nimekuwa nikipitia pitia thread katika jukwaa hili na kwa kusema ukweli, mengi yasemwayo yanaumiza saaana.

  Yapata miaka 50 sasa tokea tupate uhuru. Serikali yetu inahangaika kuandaa sherehe kwa mabilioni ya pesa, kutetea posho na wao kujipendelea ktk kila sekta hali watanzania walio wengi wanaishi kwa kipato chini ya $1. Hali ni mbaya sana. Nawashangaa kweli hawa viongozi wetu.

  Juzi nimeangalia taarifa ya habari hapo ITV walionyeshwa wamama na watoto wadogo wakiokota mabaki ya chakula na mkaa jalalani ili kuweza kukidhi njaa zao. Jamani!! tena ni dodoma ambako muheshimiwa waziri mkuu wetu alisema kwamba posho zinawasaidia omba omba nje ya bunge. Inauma sana asee... Huo ni moja tu ya mifano miiingi sana ambayo ukifikiria, inasikitisha sana.

  Natoa wito sasa kwa watanzania kusema BAAASI. Uvumilivu na utushinde sasa, utu wa viongozi wetu umegeuka wa kinyama sana. Hata sijui hawana ile "guilty conciousness" kwenye nafsi zao??? Wakati wao wakiendelea kwa ari, nguvu na kasi zaidi kuandaa hilo lisheree lao la miaka 50 ya uhuru na umaskini na sisi tujipange kufanya maandamano ya amani nchi nzima kuwakosoa katika kila idara. YES WE CAN. Nani sasa atatuondoa katika dimbwi hili la umaskini wa kutupwa kama sio sisi wenyewe? Huu sasa si uvumilivu bali ni upumbavu (samahani kwa neno hilo, kama muelewa utaelewa tu maana yangu). Tujikomboe jamani....

  [​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]  FK
  Usisahau na mzigo wa kuibeba Zanzibar. ​
   
Loading...