Unafiki wa kina Mwakyembe na wenzake huko CCM unatuumiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafiki wa kina Mwakyembe na wenzake huko CCM unatuumiza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tindikalikali, Jul 12, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Kwa kumbukumbu zangu Dr. Mwakyembe ndiye alikuwa wa kwanza kupigia debe kupandishwa kodi katika mafuta ya taa, sasa yametimiaNB; LEO NIMENUNUA LITA MOJA YA MAFUTA YA TAA KWA TSH. 2400,, WAPI WANATUPELEKA HAWA JMAGAMBA?

  kwa taharifa nilizonazo ni kwamba mafuta yanapofika DAR ,hufika kwa gharama ya TSH 550/=@LITA,

  Huanza kupigwa kodi zifuatazo:-

  1.insurace 0.1% c&f

  2.wharfage 1.6% of CIF+18% VAT

  3.SUMATRA USD O.25 PER MT

  4.Destination inspection 1.2 of FOB

  5.TBS 0.25% of C&F TBS Application and testing

  6.Tipper fees USD 0.15 PER MT,PLUS 18% VAT

  7.OCEAN Loss (0.5% MSP,0.30% GO&IK)CIF

  8.Demurrage (estimate) 3 days per vessel

  9.Evaporation losses (0.5% MSP,0.30 GO% IK) CIF

  10.Surveyors cost ($0.15/MT

  11.Financing cost (1.750% CIF)

  12.Fuel levy (Tsh 200/LT-petrol,disel)

  13.Excise duty (petrol Tsh 339,Disel Tsh 314,kerosene 52@lita

  14.EWURA Levy (petrolTsh 6.10,Disel Tsh 6.80. kerosene Tsh 7.1@LT.

  15.OMCÂ’S OVER head & margins (101.11/LT

  16.Dealers margin (53.49/LT

  17.LOCAL Transportation (Tsh 10.00/LT

  18.Up country /Bridging transportation (Tsh 130/km/1000 LT............................................................

   
 2. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  kubababake ndo maana naichukia sana ccm
   
 3. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama una akili timamu basi utayafuata mwenyewe huko Uarabuni hayo mafuta.
  Tuna bwabwaja bure kwa kulilia huduma za bure.
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Sijaongelea wala kutaka huduma/bidhaa za bure, ila kwa mwendo huu CCM itachukiwa na kila Mtanzania. Na hayo ndiyo matusi yenu, mwingine alidai CCM haina visima vya mafuta.
   
 5. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Hey!! TRA kuna kitengo cha CUSTOMER CARE jitokezeni na mfafanue huo mlolongo wa kodi siyo kila siku mnadai ohoo JF wanapotosha umma kazi kwenu.
   
 6. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  This is one of those mendacious, spurious, instigative topics. Have you, at all, executed your homework meticulously before dropping your void thread in here? Or you impetously sat before your PC and hastily decided to come up with this one!
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hapa hatuongelei huduma ya bure, hoja n uhalamia unaofanyika kwenye bidhaa ambayo injini ya taifa, usiwe na fikra mgando kiasi hicho.
   
Loading...