Spika na Viongozi wa bunge wanachangia bunge liwe hovyo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika na Viongozi wa bunge wanachangia bunge liwe hovyo.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PrN-kazi, Jul 12, 2011.

 1. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Katika hali ya kushangaza, bunge la leo kwa vipindi vyote viwili asubuhi na jioni limeisha uku likiacha wabunge wananungunika: hoja zimetolewa-wabunge wakaomba mwongozo wa spika pamoja na utaratibu lkn hakuna aliyesikilizwa zaidi kuropokaropoka kwa Wabunge wanaojiita ni wana-magamba.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,933
  Likes Received: 5,084
  Trophy Points: 280
  its a shame kusikia wakipayuka hovyo, lol! Inabore hata kuangalia
   
 3. T

  The Priest JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Imeboa sana jioni,speaker ni mbabe sana..
   
 4. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Mch.msigwa kampiga kijembe mhe. Sitta, kwamba kat yao wanaotekeleza ilani ya chama na yeye aliyesalit chama na kutaka kuanzisha CCJ, nan MNAFIKI!! Baada 6 kutetea ful kuiponda ponda mezani yetu pale Mjengon. "he is no Longer the One we used to knw"
   
 5. hKichaka

  hKichaka JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sita kauli yako ya kwamba wananchi watamua basi hilo tutalifanyia kazi ,,,kwani hoja zote za upinzani zina mantiki sana kwa kuwa ndio wenye dhamana ya kuisimamia serikali
   
 6. hKichaka

  hKichaka JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwongozo wa spika ,mwenyekiti mbona hautumiki vizuri ?CCM Vs Chadema serikali iwe makini na haya mambo kwa kuwa sisi wananchi kazi yetu ni moja tu kuamua nani arudi tena huko mjengoni
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haswaaaaaaa!!!!!!! that is what we're remaining with.
   
 8. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 2,696
  Likes Received: 1,160
  Trophy Points: 280
  Kwenye Red hapo. Huyu ni mbunge wangu na sijutii gharama niliyoitumia kutoka Kigoma Hadi Iringa kwa ajili ya kumpigia kura. Iringa tokea Tanzania ipate uhuru ndo tumepata mbunge sasa
   
 9. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,545
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kubeza hoja za upinzani kwa ujumla kama alivyofanya Sitta, kiongozi wa shughuli za Serikali, ni ubabe wa hali ya juu - na hasa alipohakikisha anakuwa msemaji wa mwisho na anakwepa kujibiwa!
   
 10. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tupo pamoja mkuu hili ni jembe la ukweli. Hata mimi nilikuwa Tabora kwa bibi but nilihiyari kujichanga nije niwahamasishe masela tuliinue jembe letu thanks God likapita kwa kishindo pamoja na kuchakachuliwa. Sasahivi nafarijika sana ninapolitazama jembe langu kwenye TV, I wish ningekuwa Iringa ili furahayangu itimie. Well done Msigwa still together till the end of time. Don't give up the fight!!!
   
 11. samito

  samito JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  zaman nilidhani sita ana nafuu, kumbe ndo bogas kabisa, yeye ndo mnafiki alietaka kuanzisha ccj ikamshinda, bora lowasa. lakin pinda na sita pale ni hewa tu, hawana lolote
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Ni aibu mno... i wish wangekua na utashu kila mmoja kwa nafsi yake waone walivyo tia aibu...
  sijui bunge linaelekea wapi... mwelekeo wake kuufikiria tu ni aibu na kusikitisha...
   
 13. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  dada yangu! leo walikuwa wana taka aminisha Jamii Et wanatibiwa kwny vizahanat vyetu, na misuli ya shingo inawatoka kabisa, then quotation ya hayati wanaipinga, et wanashaur hayati anukuliwe ktk maneno mazur tu aliyoyatoa. Hiki n kizaz cha dot.com tunaangalia matendo na si kusikiliza maneno.
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,164
  Likes Received: 33,025
  Trophy Points: 280
  Asha ndio matokeo ya nchi kukosa uongozi thabiti. Viongozi wote wa juu hovyooo na Bunge la Magamba nalo hovyooo halafu tukisema ukweli kuhusu uongozi mbovu unaongamiza nchi wanalalama ooh! Wale kule JF wanachafua Viongozi kumbe Viongozi wanajichafua wenyewe kwa matendo yao ya kila siku na kutoa kauli ambazo haziingii akilini na sasa hili Bunge ni Bunge linalofedhehesha sana. Sijawahi kuona vikao vya Bunge vyenye kiwango duni kama hili Bunge la sasa. Inasikitisha sana kusema kweli.
   
 15. j

  join9527 Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  then quotation ya hayati wanaipinga, et wanashaur hayati anukuliwe ktk maneno mazur tu aliyoyatoa. Hiki n kizaz cha dot.com tunaangalia matendo na si kusikiliza maneno.
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
Loading...