in and out
Member
- Jun 30, 2011
- 69
- 6
magdalena sakaya mbunge wa viti maalum wa cuf jana amewasilisha ushahidi kwa spika wa bunge juu ya yale aliyozungumza wiki moja iliyopita juu ya wakuu wa wilaya kuchukua mifugo ya wanainchi.
Uliwahi kujiuliza kazi ya mbunge ni nini? anyway sitaki kuamini kama upeo wako wa ufahamu kuhusu hili umekomea hapo, too low.........Hivi kumbe Sakaya ni wa C.U.F.? Nilidhani CHADEMA....lol. Sasa anapata wapi ubavu wa kuikosoa serikali wakati CUF na CCM ni wamoja ?Ningemshauri ahamie CDM.
hadi anatia kichefuchefu akiomba ushahidi ambao haufanyiwi kazi.Ushahidi kwa Bunge letu hili wala hauna maana. Pengine matokeo mtapewa 2014!
Uliwahi kujiuliza kazi ya mbunge ni nini? anyway sitaki kuamini kama upeo wako wa ufahamu kuhusu hili umekomea hapo, too low.........
Hapo kwenye red. Usiulizie kazi za mbunge ndugu, Ulizia kazi za mbunge wa CDM kwasababu CUF hawafanyi kama tulivyowatuma.There is an incredible difference btn CDM MP and CUF MP when it comes to opposing the government by criticizing its policies, suggesting the alternatives and keeping the public informed.