Bungeni Kunawaka Moto

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Kafulila David katumia muda mwingi kuichana vema serikali kwa vigogo kupata matibabu nje ya nchi, huku Mh. Maige akijaribu kuelezea watoto wake walioko kijijini bila kutaja fungu na kuonekana hana hoja.

Kadandia treni kwa mbele Mh. Nagu naye kaangukia pua akijaribu kuonyesha kuwa watoto wake wanatibiwa muhimbili na si nje ya Nchi

Ametumia Lugha inayoudhi kwa kusema Serikali ya CCM ni legelege imeshwindwa kukusanya Kodi, wakati imeongeza makusanyo kutoka bilioni 70 hadi zaidi ya 190

Mwenyekiti anakitolea ufafanuzi kifungu kinachoelezea kuhusu kutoa Lugha inayoudhi

Mic nyingi zipo wazi na Wabunge wanapayuka kama kawaida yao ilivyojengeka siku hizi

Mhagama anamtaka Kafulila kutoa ufafanuzi kwa kauli ya kuudhi juu ya serikali Legelege

Kafulila anathibitisha kwa kunukuu kauli ya Baba wa Taifa
 
MH SAMWELI SITTA:

Anasema angewasihi Wabunge wa CCM kuwa hawa wapinzani hawa ndio kazi waliyotumwa kuifanya wapinzani ni Wanafiki na mambo yao mengi yamekaa kinafikinafiki, Mfano kuita posho za vikao ni kuibia wananchi na baadhi yao wamekaa humu miaka mitano wakila posho sasa leo wanaziita kuwa si halali, hivi kweli wananchi watawaamini hawa.

wataendelea kuwa hivi hivi na kubaki wapinzani

Miongozo imechachamaa

Mhagama anasitisha shughuli za Bunge huku Mic zote zipo on KAMA SOKONI Aiseee

This is Tanzania
 
Na bado, hadi kufikia 2015 tutaona na kusikia mengi kwenye bunge hili! MPAKA KIELEWEKE!
 
Shughuli ni nzito sijui kama jioni ya leo patakalika huko. CCM hawataki kuambiwa ukweli. Ila kama alivyojikaanga Mh. Sitta kuwa Wananchi wataamua ni kweli wataamua. Maana hata yeye hajui wataamua nini
 
Muhagama kakimbia muongozo wa zitto, sbb aliomba muda mrefu hata kabla ya mhe. Sitta, cha kushangaza baada sita kumaliza vijembe, akafunga bunge. Ila h.kigwangala kwa kwel kilaza et kafananisha makusanyo ya kodi ya 2005 na 2010 bla kujua exchange rate ya dollar. N bora akaficha upumbavu wake cz kila cku wanamuumbua.
 
Kwa hiyo ukifanya kosa ukagundua kama umekosea unaendelea? Au unarudi nyuma unatafakari harafu unafanya mabadiriko. Ukifanya mapenzi na kinga ukagundua kuwa imepasuka unaendelea hivyo hivyo ? Au unaacha unajipanga upya ili uwe salama. He Magambazi. please lean to make changes otherwise bye 2015.
 
Very intresting Magamba. Tuwasubiri jioni maana najua mwongozo wa zito utaendelea kama kawa jioni.
 
Wanajua kuwa itakuwa shughuli pevu 2015, watakutana na masanduku ya watanzania licha ya kauli zao za kifedhili

Kafulila alianza kama mzaha akilalamikia tatizo kubwa la utofauti wa kipato kati ya watanzania wa daraja la juu na chini na hapa inaonekana aliwagusa mawaziri ambao kwa mara ya kwanza leo wamesimama wengi kutaka kuomba muongozo kuliko siku yoyote

Alianza Maige, Akafuatia Nagu na Kisha Samweli Sitta...Hii imeweka rekodi haijawahi kutokea Mwaziri wakasimama wengi kuomba muongozo kama wlivyofanya leo.

Ugomvi mkubwa hapa ni baada ya kutoneshwa kuhusu watoto wao kutibiwa nje na uchu wa kujilimbikizia Mali huku mamililioni ya watanzania wakitaabika kwa Njaa

Aluta Continua
 
Very intresting Magamba. Tuwasubiri jioni maana najua mwongozo wa zito utaendelea kama kawa jioni.

Kagomewa Vibaya na kuna uwezekano mkubwa jioni wakaipotezea Live, tutasikiliza hata katika Radio, Ila update zitakuja kama kawaida hata kwa vyanzo vyetu vilivyopo mjengoni
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.

CCM ndio dume lenu nyie.
 
Muhagama kakimbia muongozo wa zitto, sbb aliomba muda mrefu hata kabla ya mhe. Sitta, cha kushangaza baada sita kumaliza vijembe, akafunga bunge. Ila h.kigwangala kwa kwel kilaza et kafananisha makusanyo ya kodi ya 2005 na 2010 bla kujua exchange rate ya dollar. N bora akaficha upumbavu wake cz kila cku wanamuumbua.

Bunge limeahirishwa kihuni leo kama mtu anamaliza mpira wa Chandimu pale manzese watoto bado wanahamu ya kucheza mwenye mpira kautia kwapani kaondoka. Ha ha ha
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.

CCM ndio dume lenu nyie.

Utakumbuka shuka kumekucha
 
Sitta is trying to absorb the pressure of the fire,but I reckon he will be absorbed by the pressure and at last he will look as an idiot..I see he is trying to argue on every agenda nowdays in favour of Magamba's side!!Poor SITTA
 
Mh Sitta bonge la KILAZA, kama wana ubav mbona wamekimbia? Nilikuwa namuheshm Sitta lakin leo nimemuona PIMBI

Edson, sote tunajua kuwa Sita sio kilaza. Tunafahamu uwezo wake wa kumudu mambo. Shida hapa ni moja kuwa ukiwa CCM ni lazima ukubali kuwa mnafiki. Ijumaa alipokuwa nanazungumzia muungano yeye kama kaimu kiongozi wa shughuli za serikali bungeni alisema: "Ninayoyasema siyo ninayoyaamini mimi kama mimi ila hii ndiyo historia. ..." Kwangu mimi, hapo alimaanisha anasema kwa vile yuko huko.
Mwangalieni mtoto wa mkulima alivyochuja ... Ni sababu ya kutaka kutetea mlo kwenye sahani. Ili hilo lifanikiwe ni lazima uwe mnafiki wa nafsi yako mwenyewe.
 
kelele kama kariakoo ......leo bunge mchana limesitishwa kiaina sijawahi kuona ..sita kachanganyikiwa?
 
Back
Top Bottom