Muungano una Wahusika/contents gani? Vikwazo, matatizo, tuna nchi tunayo i-colonize! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano una Wahusika/contents gani? Vikwazo, matatizo, tuna nchi tunayo i-colonize!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mulambakao, Jul 13, 2011.

 1. mulambakao

  mulambakao Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu Mnisikilize!

  Can somebody tell with an independent mind! Muungano wa Tanganyika na Unguja (ati Zanzibar) una faida gani kwa Tanganyika? Hebu tuangalie nchi nyingine zilizo katika muunganiko wa aina yoyote iwayo ile, mfano The UK= Scotland, Northern Ireland, Wales; Kila nchi ina full sovereignty . Kuna mambo tu Fulani ambayo yanakuwa shared kwa sababu mbalimbali kwa mfano kubebana kiuchumi n.k. The United States of America USA style federal government, na states governance mind you, majimbo yote yana uhuru wa kutosha wa kisheria wa kujiamulia mambo yake yenyewe, the federal government thou superseding but has limitations.
  Maswali magumu kabisa ambayo yanahitaji majibu ya wazi pasi kificho (beyond doubt) to set us free ni lazima yajibiwe kifasaha na yafanyiwe kazi.
  1. Muungano wetu ni wa nchi zipi?
  2. Hizo nchi zina wajibu gani (kuchangia Utilities-nishati-TANESCO, huduma-TTCL only to mention the two) katika huu muungano-Wajibu
  3. Hizo nchi zina haki gani (sharing resources), ugawanaji wa madaraka,
  4. Kiuchumi pato la taifa linachangiwa vipi GDP percentage contribution?
  Maono! Malalamiko, madeni. Makubaliano ni lazima yafikiwe ili tuwe confortable katika huo muungano, iwezekane kuurekebisha ili ulete maana yoyote au kama haiwezekani basi uvunjwe ili kila upande ujitafakari upya na kuingia katika muunganio wa ukweli wa, wenye faida kwa pande husika, hakuna kiongozi hata mmoja wa upande huu ambaye anaongoza kule upande wa pili wakati kinyume chake kimewezekana huku kwa nini? Upande ule una bendera mbili, nyimbo ya taifa lake binafsi, na wasiwasi upo kwamba kweli wimbo wa taifa hili ati muungano unafahamika vizuri kule. Muungano uliokuwa unaeleweka uliua Tanganyika na Zanzibar ukabakiza Tanzania Mainland and Tanzania Irelands (Bara na Visiwani). Sasa upande mmoja umeanzisha nchi kamili inaitwa tena Zanzibar, ile hali upande mwingine haueleweki, tunauitaje sasa, bara? Bara vipi wakati hakuna visiwani? Au Mafia na kemondo, Ukerewe? Kama ingekuwa a mathematical function, then the variables are non-existent, leaving constants. Kuwapeni moyo tu ni kwamba Nchi ya Zanzibar ambayo ime jiandalia katiba yake mpya , nzuri na yenye manufaa kwa wazanzibari may be wote, hatujui Pemba kama kweli wapo clear nah ii kitu ya serikali ya Unguja! Mnazo rasilimali nyingi zinazoweza kuwapeleka mbali ki-maendeleo, mafuta (natural fuel) ambamo ni lazima kutakuwepo natural gas etc. kilimo cha karafuu ingawa sasa kimefifia! Human resources za kutosha ambazo zimevurugwa na watawala wa bara (Dr Salim Ahmed Salim, Nahodha, makamu wa rais Dr bilal, Dr Idris Rashid,Musoma na wengi wengi ninyi mwawafahamu vyema) Ni ukweli usiofichika kwamba Dr Sheni Rais wa sasa na wote waliopita wamewekwa na bara, kwani alipiga kura yake huku bara hakuwa amejiandaa kushiriki uchaguzi kule Zanzibar! Ni kweli kwamba mlijitahidi kutovunja katiba pale watawala wa bara walipotaka kumshurutisha Karume (rais aliyepita) kugombea kwa mara ya tatu kinyume cha katiba naye alijitahidi kutokuwa mtiifu kwa bara angalau mara moja. Wengi kati ya waliotajwa hapo juu walinuia kugombea urais wa Zanzibar na kama Zanzibar ingalikuwa huru kutoka wtawala wa muungano basi Dr Sheni asingekuwa rais, wale wamebandikizwa vyeo wengine vinawafunika (Nahodha) ili wanyamaze, kwa mshangao kweli ndiyo maana tunawatawala kwa kuwagawanya, wamekubali kabisa na kukaa mahotelini kwa a record length of periods.

  Mpaka sasa upande huu ni hakika unautawala upande ule katika Nyanja karibu zote, pamoja na kuwapatia huduma zetu nyngi bure huku tukiendelea kupata matatizo makubwa ya umeme ambayo madeni ya wale ya zaidi ya billion 12 yakilipwa TANESCo itaeza kuwekeza kiuhakika katika umeme, Nyie, Sudan ya Kusini ipo huru sasa, na nyie kama hamuoni, Tunawatawaleni, tafuteni uhuru wenu na muutangaze, msiongee mafumbo ambayo ndani yake ni vacuum.
  Tafakarini ninyi wa-Unguja na mkifika muafaka mseme ukweli wenu kama kweli huu muungano unatufaisha sisi wa-Tanganyika. Nchi yenu ni nzuri sana with the vast of beach and sea resources, mwende mkazitumie kuendeleza nchi yenu, pengine mgekuwa mbali mno kama Rwanda, mnadanganywa ati sisi ni dugu zenu wa damu, well, Rwanda, Burundi na DRC Congo nao ni ndugu zetu bila kusahau Mozambique na Malawi ambao hata makabila tunaingiliana. Think big, achaneni na sisi kaendelezeni nchi yenu!


  Mheshimiwa Sita;
  1. Unapingana kabisa na maelezo ya waziri mkuu ambayo nayo yalikuwa yasiyoridhisha (inconsistent), nadhani alilazimishwa kuyasema na lobilists.
  2. Pia wewe hauridhishi( Inconsistent) kwa sababu mambo ya kufanya maamuzi magumu kwa kipindi hiki, hayategemei mambo yaliyopita ndo maan mheshimiwa Lowassa alisema maamuzi magumu, maanke ni yale ambayo yanatakiwa ku-clear the air iliyo chafuliwa kipindi cha nyuma na kutoogopa , i.e. kutoendelea kuamua tena kwa kipindi kingine kirefu, sasa, unan’gan’gana na watu walio chafua , ambao hawakuwa wasafi kipindi cha nyuma badala ya kuangalia namna ya kurekebisha na ku-set baselinle, pakuanzia ili mambo yasiende kizushi tena huko mbeleni na kuhakikisha iwapo mmoja au kundi Fulani lita tupeleka huko basin a hatua za kuchukua ziwekwe wazi bila kigugumizi. Unanun’gunika tu, you’re not decisive either! Kama wewe ni muadirifu unafanya nini kwenye serikari isiyo adirifu? What happened to taking responsibilities (resigning ) pale unapoona mambo yanakukera na kwenda kinyume na maadili? Umenyan’ganywa u-speaker ki-mafia na kudanganywa na cheo uchwara wizara ambayo haina kazi, unadhalilishwa na umekubali kabisa
  3. Unapozungumzia muungano unaonekana kabisa hauna jipya, unalazimisha ati muungano upo sawasawa wakati ukweli ni kwamba hata wanao na wajuuzo wanaona uwazi kwamba muungano unayo mapungufu kwa asilimia tisini, au umeahidiwa kuwa utateuliwa kuwania uraisi 2015? Angalia mkuu, the next time watakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa halafu wakumwage siku ya uteuzi na kukumaliza kabisa, then what’ll be next for you is frustration and the rest unspeakable; jiunge na ukweli kama wewe unamaana yoyote.
   
Loading...