Nilikuwa napitia pitia makabrasha fulani nikakutana na mpango wa maendeleo wa 2008/2009 wa serikali ya CCM na programu mbalimbali ambazo zimetengewa fedha. Just "by accident" nikaona hili...
kuna wana ccm kila kukicha wanaitetea serikali blindly. ukizunguka kila mahali generator, mashule hakuna walimu wala vitabu, maji safi hakuna, mfumuko wa bei, shilingi kuanguko, mauzo nje...
"Watanzania tunatakiwa tutafute taarifa za kiintelijensia kuhusu makampuni tunayoingia nayo mikataba ya madini na si kutafuta tu taarifa za kiintelijensia dhidi wa wananchi wanaotaka kufanya mgomo...
Ndugu wana jf ni faraja kwa wabunge kwa pamoja bila kujali chama wakionekana kusimama kwa pamoja kwenye mambo ya msingi ya nchi lakini kwa hili la nishati na madini ni ukweli usiopingika kwamba...
Na Rachel Balama
RAIS Jakaya Kikwete, jana ameanza ziara ya kidola siku nne nchini Afrika Kusini ambayo ni ya kwanza kufanywa na Rais wa Tanzania nchini humo.Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya...
Dr. Benson Bana, analysis yako ya jana TBC1 ina mapungufu. Sikubaliani na wewe kulipa credit Bunge letu for just a single incidence ya Wizara ya Nishati na Madini with regard to budget. Bunge letu...
Wana JF...
Haya ni mawazo yangu binafsi source ni nionavyo mimi....
Ni juzi tu jumatatu tarehe 19/07/011 ambapo Waziri mkuu mh. Mizengo K. Pinda aliliomba bunge kuahilishwa kwa mjadala wa...
Nimekuwa nikifatilia bunge kwa muda mrefu sasa lakini
nasikitika na kuumia baada ya wabunge wa CHADEMA kuwa wazembe na sio wadadisi na wazembe wakutafuta mambo
Je hiki ni kizazi cha digital...
Sijui kama wenzangu mlinotice au la.. hivi kwanini Karume apewe heshima ya Kijeshi Tanzania bara na kupokea saluti kwenye siku kuu ya Mashujaa wakati nafasi yake kwenye baraza la mawaziri wa...
kwa wahasibu hasa wa serikalini na kwenye idara neno OC ni kifungu cha matumizi kambacho irefu chake ni Other Charges. kifungu hiki kina majina mengine mengi lakini kwa lugha ya mtaani tunasema...
HVI kashfa hii ya rada na fedha zinazodaiwa kutoka Uingereza baada ya kusemekana maofisa wa serikali yetu walipewa chochote ili dili hilo lifanyike si iliwahi kuandikwa na gazeti la Majira...
...Msuya atupa mzigo kwa Mkapa
*Asema ndiye ametufikisha tulipo
Na Godfrey Ismaely
Majira
MAKAMU wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya awamu ya Kwanza Bw. Cleopa Msuya ameishauri...
Tangu Rais Jakaya Kikwete aingie madarakani 2005 mpaka 2010, serikali yake imeongeza uzalishaji wa umeme kwa 145 MW tu.
Mpango mpya wa miaka mitano wa serikali umepanga kuhakikisha kuwa Tanzania...
Kwa kweli furaha niliyonayo mimi lady furahia HAINA KIFANI
hili BUNGE letu la sasa halitaki mchezo jana tu nilipoona taharifa ya habari nimeachwa mdomo wazi kwa furaha
sijui wenzangu nyie
kila...
serikali ya mkuu wa kaya imeufyata kabisa kutimua wavamizi wa kichina waliorudikana soko kuu la kariakoo wakipora Frame za wazawa kwa bei za kupaa, huku wakitumia frame hizo kuuza viatu na mitumba...
Kulitakiwa kuwa na Kikao Cha Mh Kikwete kukutana na Watanzania waishio South Africa. Mkutano ulitakiwa kufanyika Sheraton Hotel, Pretoria saa 12 za Jioni. Nimesikitika sana kuhairishwa huo...
By Florian Kaijage
17th July 2011
For Tanzanians who have tested the benefits and joys of electricity-facilitated modernity, the backward march towards the dark ages is a real threat, as the...
Inasikitisha vyombo vya nje kuvalia njuga mambo muhimu ya nchi km umeme nasi tuna vyombo vya habari kibao na vinavyojiita huru,nimefurahi BBC kufanya interview na baadh ya Watz(waajiri wakuu)...
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.
Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa...