Wabunge na "umjini mjini" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge na "umjini mjini"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtanzania haswa, Jul 20, 2011.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wana JF...
  Haya ni mawazo yangu binafsi source ni nionavyo mimi....
  Ni juzi tu jumatatu tarehe 19/07/011 ambapo Waziri mkuu mh. Mizengo K. Pinda aliliomba bunge kuahilishwa kwa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini baada ya asilimia kubwa ya wabunge kutaka kuikataa bajeti ya 2011/12. Hoja za wabunge wengi zilijikita ktk matatizo ya umeme yaliyopo nchini kwa sasa huku wachache wakihoji kuhusu madini na mikataba mibovu.
  "UMJINI MJINI" wa wabunge wetu ni pale ambapo sikusikia hata mbunge mmoja a
  https://www.jamiiforums.com
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  malizia mkuu!its pending
   
 3. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ebwana nimeandika mengi lakini naona haya display. wacha niendelee na page nyingine
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata mbunge mmoja akifanya nini? Malizia!
   
 5. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sikuona hata mbunge mmoja akichangia kuhusu upandishwaji wa nishati ya mafuta ya taa ambayo inategemewa vijijini. Hii inatokana na wabunge wengi kugombea ubunge wakitokea mjini na kutokufahamu maisha ya mwanakijiji na kipato chake. Tunasema kipato kwa MTZ ni chini ya dola moja wakati mafuta bei yake ni zaidi ya dola moja. wabunge wanamwakilishaje mkulima, je kuwe na viti maalumu vya wawikilishi wa vijijini? ndio maana bei ya mafuta ilipanda pasipo kupingwa. Wabunge wanawasaliti wananchi wa vijini.
   
 6. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Bado kabisa!still pending
   
 7. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  now edited above
   
Loading...