OC- Uhai kwa KCC Ufisadi kwa Wakubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OC- Uhai kwa KCC Ufisadi kwa Wakubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Jul 20, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  kwa wahasibu hasa wa serikalini na kwenye idara neno OC ni kifungu cha matumizi kambacho irefu chake ni Other Charges. kifungu hiki kina majina mengine mengi lakini kwa lugha ya mtaani tunasema ni kama "Uchakavu"

  Hizi OC zina umuhimu wake na mapungufu yake vile vile.

  Kwa wafanyakazi wa KCC na KCT( kima cha kati) serikalini kuondoloewa kwa kifungu cha OC ni kama uti wa mgongo kushindwa kufanya kazi kwa binadamu. Matokeo yake ni ku paralyse.

  Kwa wale wa KCJ( kima cha juu) ukiondoa OC na wao kama wale wa KCC take home yao itapungua lakini sidhani kama wanadhurika sana kama wale wa KCC. OC kwa hawa watendaji na wafanya maaamuzi ndio sehemu pia ya kuchomoa vijensti vya kufanya "deal"

  Sakata la wizara ya nishati na ndugu Jairo linaonyesha kuna pesa zinatakiwa kutumika lakini hazitumiki na kuwafikia walengwa au taasisi sahihi


  Sasa ni wakati bunge liagize serikali litengenishe kifungu cha kuwalipa overtime wafanyakazi wake na malipo ya vifungu vya "uchakavu" watu walio nje ya ajira

  Nawasilisha
   
Loading...