Kauli ya Dr Kigwangala Imenifurahisha Sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Dr Kigwangala Imenifurahisha Sana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Buchanan, Jul 19, 2011.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  "Watanzania tunatakiwa tutafute taarifa za kiintelijensia kuhusu makampuni tunayoingia nayo mikataba ya madini na si kutafuta tu taarifa za kiintelijensia dhidi wa wananchi wanaotaka kufanya mgomo kule Igunga, Arusha au wamachinga wanaotaka kufanya mgomo kule Mwanza ili tujue tunaingia mikataba na Makampuni ya aina gani!" Hii kauli aliitoa Bungeni jana wakati wa kujadili hotuba ya Waziri wa Nishati na Madini!Hii kauli nilivyoitafsiri mimi ni kwamba watanzania tunakomalia vitu visivyo na tija kwa taifa ili hali vile vyenye msingi hatuvikomalii! Pia alidai kwamba tukiambiwa majambazi yamevamia sehemu (kwa upande wa Jeshi la Polisi) tunadai kwamba Defender haina mafuta, lakini kwa habari ya kumpeleka Mbowe Arusha helikopta inapatikana na inatumia fedha nyingi! Magamba kumbe mara nyingine yana akili, yaani hata saa mbovu huwa inasema ukweli mara mbili kwa siku!
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Hahahaha,

  Kigs anasoma ishara za nyakati. Tunapompiga mawe JF inasaidia mara nyingine, maana pale mwanzo alikuja hapa na habari za kutaka kila mtu ajisajili na jina lake halisi ( which the people who are looking for intelligensia from the Igunga massive would really love).

  Mie namnywesha dawa yake mwenyewe, Kigs tafuta intellijence kuhusu wawekezaji, usitafute kujua Kiranga jina lake halisi ni nani (intellijensia ya watu wa JF).

  It's funny, reminds me what Busta Rhymes (OK, OK, you can't quote Shakespeare all the time) in "Abandon Ship"

  "You Nig**rs talk shyt, then they abandon ship".

  Kigs ali talk shyt ( endorsing censorship and dossier building) sasa ana "abandon ship" like a Norwegian rat in a sinking Titanic.

  ‪Busta Rhymes - Abandon Ship‬‏ - YouTube
   
 3. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Kisayansi hasa ya akili; ubongo wa binadamu huwa unafanyakazi kimawimbi mawimbi so hata kipofu saa nyingine anaweza kutambua mavi kwa kuyagusa na vidole. Kigwangala anaweza akawa alikuwa na hali kama hiyo, pia usisahau kuwa anaweza akaonywa.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Well said Kiranga... hard work pays, the boy is slowwwllly tightening his nuts up!!!
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Siku nyingine utashangaa anaongea pumba kama mzee 6 eti "wapinzani ni wanafiki!" Sina imani kabisa na Magamba, ni opportunists!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  veri possibo
   
 7. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Kwa hyo kauli yake NAMPONGEZA sana mh.Kigangwala.Hivyo ndivyo mnatakiwa kuwafanyia watz.Mimi naamin wabunge wengi wa CCM vijana ni vichwa ila wanabanwa na UCHAMA.At some point i expect fire fire fire.
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Ni kinyume na katiba ya CCM kwa mwanachama yoyote kuwa kiongozi kama ni mfanyabiashara au ana hisa kwenye kampuni yoyote ya binafsi.Kwa hiyo,hapo tu hafai hata kuwa mbunge wa CCM.
  Nashangaa hawa wabunge wanalalamikia mikataba mibovu ya madini.Wakati wanajua wazi kuwa hatutaki mikataba ya madini na mwekezaji yeyote yule,tunataka 51% and above,not 5% not even 10%.
  So,forget intelligence...we don't want them period.
   
 9. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ukiwa magamba unakuwa kichaa akili yako inakuwa inaongezwa na mwenendo wa mbalazi,ukiwa mwezi mchanga unakuwa kichaa,ukifka kati unakuwa kichaa.Huyu jamaa Said bagaile ni mmoja wao.Aliwahi kumpinga Tundu Lissu kuhusu ubovu wa mikataba mibovu ya madin, halaf kesho yake akaja na hoja hiyo hiyo kama sio chz ni nn?
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyu Dr Kigwangala alidai kwamba Rais Joseph Kabila alivunja mikataba yote mibovu ya madini na hakuna lolote baya lililotokea dhidi ya Serikali lakini Tanzania tumekuwa waoga! Hongera Dr, tatizo uko kwenye losing team (ie Magamba)!
   
 11. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  U cant trust these guys!
  Kwanini hawakuipinga budget ya ngeleja kwa sauti moja ya SIOOO! Badala ya kukaa kikao kwanza.
   
 12. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Mimi naona angeamia CDM,kwa sababu tukianza kuwatimua wafanyabiashara,sidhani kama atabaki.
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kuna hata haja ya kufanya taarifa za kiintelijensia basi. That was actually a very weak argument. Yale maandamano aliyokuwa ameandaa kupinga ule mgodi jimboni kwake bado wapiga kura wake wanayasubiri mpaka sasa.
   
 14. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  NEVER TRUST THEM.
  They never mean what they say.
   
 15. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Inasemekana tukitaka kuvunja mikataba yote inawezekana kwa kuwa mikataba mingi haikupitia Bungeni kupitishwa, je inawezekana kuvunjwa mikataba?
   
 16. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Tatizo letu ni wabunge mafala.
  Kamati ya bomani imependekeza tupate 6% badala ya 4%......bunge likapitisha 5%.
  Sasa hapo ndipo wanapokoroifishana na sisi.Tunaka majority ownership...51% and above.
   
 17. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45

  Kinacho wamaliza hawa na kile ka 10% percent na vizawadi vidogo vidogo...hakuna mzalendo ndio maana siku hizi wakati wa uchaguzi pesa nyingi zinatumika ili akiingia ubunge aweze kurudisha yale mapesa ndi hizo wanazoita posho kumbe ni hongo tu wapitishe kila kitu ...kichefuchefu!!!!
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kigwangala ndo mnafiki, hana msimamo.
  Huwa anakurupuka bila kujijua na kujionyesha hadharani kuwa yuko bungeni kwa njaa.
  akiona reaction ya JF kwa michango yake anajipanga la kusema ili kuonekana ni mtetezi wa wananchi.
  Kwanza hana ukakika na upande aliko kama anakubalika/ atadumu.
  Na tutegemee ukinyonga kuendelea kwa Kigwangala.
   
 19. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kasema sawa lakini simwamini wana ajenda yao wale wachumia tumbo.Wanajua vyema nini Nchi na wananchi wanataka toka kwao so kumpongeza si halali ame enda pale afanya kazi .
   
 20. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Kumpongeza kunaonesha our expectations kwa hawa wabunge......so far,extremeley low.
   
Loading...