Dr. Benson Bana na Analysis yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Benson Bana na Analysis yako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHUAKACHARA, Jul 20, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Dr. Benson Bana, analysis yako ya jana TBC1 ina mapungufu. Sikubaliani na wewe kulipa credit Bunge letu for just a single incidence ya Wizara ya Nishati na Madini with regard to budget. Bunge letu lina mapungufu mengi kushughulikia masuala yanayolitafuna taifa hili kiasi kwamba kwa ujumla wake ni Bunge legelege. Umelipongeza kwa kuwa makini, Si kweli!!!!!!!!!!!!! There are a multitude of instances ambapo bunge limekuwa butu isivyotegemewa. Hiili la umeme labda ni kwa vile linawapa kura??? kwa wapiga kura wao, na wao wako kwenye giza ndio maana wamezinduka kidogo. Bunge bado ni rubber stamp, butu , legelege etc bila maamuzi ya maana on earth.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  tena BANA anadai bunge la sasa ni makini zaidi (yaani kushinda la SITTA CCJ) huo sio uchizi?
  Anapongeza kipi hasa, je bunge kwa nini lisingemkataa NGELEJA ije sura mpya nishati na madini? (ngeleja amekuwa akipwaya sana)

  uchambuzi wa BANA utadhania ni uchambuzi uliofanywa na bibi yangu kule kijijini ITIMBI
   
 3. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuwa na wanaojiita wataalam na wachambuzi wa siasa kama huyu benson katika nchi ni hatari sana kuliko watu wanavyotambua.
  Huyu ni mropokaji anayefundishwa au kujipendekeza ili aendelee kutimiza malengo yake ya kipropaganda kama anavyotumwa na '-'
  Report zake ni za kuegemea mlengo wa chama kilicho madarakani na siku zote ametoa report sizizoungwa mkono na sehemu kubwa ya jamii yetu, labda wasomi anao wadanganya kwa ufundishaji wake.
  Si mchambuzi mkweli. kwa umri wake ni janga kwa wasomi wadogo wanaomtizama.
  Simply said benson is a ccm puppet
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  hilo ndio jibu pigia mstari!
   
 5. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Jamaa nilimsikiliza na nikamshangaa mpaka mwanangu akaniuliza....Baba unafikiri nini? ama kweli kweli jamaa ni janga kwa wanafunzi wake na Taifa letu
   
 6. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Who doesnt know kwamba Bana ni ccm!u'hypocricy' huo kama kawaida yao!kuponda yenye tija kwa wananchi kama yamesemwa na upinzan na kusifia unafiki wa ccm wenye kujinufaisha wenyewe!fool
   
 7. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Mnafiki uyu(Japo alikuwa mwalimu wangu)...anatafta ulaji baada ya REDET yake kushndwa kuendelea kupata misaada mingi...alikuwepo kwenye timu ya Wataalamu ya Kikwete ktk uchaguz uliopita!alitumia REDET kuongeza umaarufu wa JK..ANALIPWA KWA KAZI ANAYOIFANYA
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sijui kwa nini TBC wanatafuta maoni kwa huyu Dr.Bana. he is just full of hot air. Nawaonea huruma wanafunzi wake!
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe umakini ulitakiwa kuanza wakati wa kupitisha bajeti kuu. Kiasi cha pesa kilichotengwa kwa Wizara ya Nishati kilionekana na baadhi ya wabunge makini walihoji kwa nini hakuna mradi mpya uliotengewa pesa lakini bado kwa kauli moja ule upande wenye wabunge wengi walipitisha ile bajeti na mapungufu yake yote likiwemo lile la kupandisha bei ya mafuta ya taa na kubagua watanzania kwenye kulipa kodi ya mapato
   
 10. M

  Mwadada Senior Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kimsingi nimekuwa nikitilia shaka wakati wote uchambuzi wa huyu dk. Kumbuka tafiti zenye kuhusu mvuto wa viongozi,hata maoni yake juu ya kujivua gamba kwa RA ni utata mtupu. Nashukuru kwa taarifa kwamba mdau ni mwenye mlengo wa ccm hivyo nimetambua nikwanini uchambuzi wake unaonekana kubeba upande mmoja na kuponda mwingine kiaina. Hatari sana kwa wasomi kama hawa kuto simamia kweli. Wakati utawaumbua.
   
 11. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Dr. Benson Bana (Bunsen burner) ni taa ya mafisadi wenzie wanamagamba
  kila analysis zake ni za kusifia CCM tu, na wapinzani wakifanya vizuri huwa
  hawasifii direct. Ngoja tusubilie CCM watakavyokuwa chama pinzani atasema nini
  maana anguko lao liko tayari na hawavuki 2015.
   
 12. M

  Magezi JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Benson bana ni sawa na basen bana ya maabara kwani anaripuka tu na hana lolote la maana kwa taifa. Anajipendekeza kwa utawala wa kifisadi wa CCM ili naye apate ulaji kama mwenzake Mkandala.
   
 13. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  TBC1 = HabariLeo = Jambo Leo! Usitegemee kijito kutoa fresh water na vile vile salty water kwa wakati huo huo!
   
Loading...