Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.
Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa?
Najua kama watanzania wanayohaki ya kuwa na dini wanazotaka lakini hamuoni kama hii ni hatari kwa wale wasiamini Mungu?
Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei
Nadhani its time tukabadili nyimbo ya taifa halafu hawa ma religious nutjobs wakikataaa tukaburuzane mahakamani
Sometimes we have to stand up for something badala ya kufuata mkumbo
Its really sad wanavyowadoctrinate watoto wadogo mashuleni kuwafanya waamini kitu ambacho no one has ever proved that it exist
nawasilisha hoja and yes i dare be different kwenye hili unless kuna mtu anahoja ya kuniconvince otherwise