Uzembe kwa Wabunge wa CHADEMA 2010-2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzembe kwa Wabunge wa CHADEMA 2010-2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jul 19, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nikifatilia bunge kwa muda mrefu sasa lakini
  nasikitika na kuumia baada ya wabunge wa CHADEMA kuwa wazembe na sio wadadisi na wazembe wakutafuta mambo
  Je hiki ni kizazi cha digital? wakati mwingine namkubali Slaa muda wote bungeni anabeba mkabulasha ya ushahidi lakin sasa
  hivi zitto na mbowe wanaenda kwa mtindo wa IPAD

  Je kweli hawa ndo wabunge wetu? mbona wamekuwa wazembe kudadisi mambo?
  Enzi za slaa ukiangalia Meza yake wakati yuko bungeni imejaa documnet za kufa mtu
  sasa hivi ukiangalia meza za hawa jamaa kuna simu na notebook tu basi
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwani kujaza makaratasi mezani ndio kuwa mdadisi acha hizo.
   
 3. N

  Noel Medard Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani sio uzembe ila ni staili yao coz wa2 hawafanani!cha kuangalia ni uwezo wa kuwasilisha hoja za msingi na kutetea maslahi ya taifa na sio kuwa na makabrasha,hata hivyo document na evidence zao zipo ktk softcopy sio kbeba makaratasi kama 2po zama za kina Karl Max.
   
 4. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wewe lazima ni cdm!
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ndo unakuwa na evidence za kutosha wew uona wabunge wa chdama wanaenda na pen na notibook?
  \
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!pasua kichwa!!napita!
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  nawasadia wabunge wa cdm maana wamekuwa wazembe saaaana
   
 8. A

  AZIMIO Senior Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huna jipya kajipange.
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kule walipokuwa wanapata hizo data hazipo tena, jamaa wameziba mirija yote
   
 10. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  suala la msingi ni kuwasilisha hoja .. maana atakachoeleza hapo bungeni hakifiki hata kurasa hamsini sasa abebe makabrasha mengi ya nini
   
 11. Jean chill

  Jean chill Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu notebook uzionazo zaweza kubeba document za miaka 10 au zaidi. Je, unafikiri wakiamua kizibeba kamahard copy docu za miaka 10 au zaidi zitakaa wapi pale?


  Hayo ni maamuzi tu, na wala usifikiri kuwa Dr Slaa alikuwa akitegemea hardcopy data, la hasha, alikuwa na softcopy pia!
   
 12. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  New technology.
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sasa mbona siku hiz wameufyata?
   
 14. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wameiba kina nani? Unataka kusema waraka kama ile barua ya Katibu mkuu nishati na madini, mh. aliiba akaileta bungeni?
   
 15. O

  Omr JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  oyaa soma vizuri , kuna tofauti kati ya kuiba na kuziba
   
 16. mchuziwanyoka

  mchuziwanyoka JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  h
  ata mimi nashangaa mara leo zito anaonekana mzuri mara kesho mbaya sasa haieleki msimamo wa chama
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jeykey umezungumza vizuri sana!
  Nakumbuka ishu zote za kuikosoa serikali wapinzani ndio walikuwa mstari wa mbele. Siku hizi hamna kitu kabisa. Imagine kama ishu ya Jana ya Katibu mkuu wa wizara ya Nishati na Madini. Nilikuwa sitegemeii iibuliwe bungeni na mbuge wa CCM! Hii inaonyesha kuwa wabunge wa CCM wamekuwa makini kufuatilia utendaji wa serikali.
  Wapinzani bado wamelala.
   
 18. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Chadema sio ccm, ccm wao kusifia tu.

  Chadema; mtu akifanya vizuri anastahili sifa akikosea anakosolewa pia.
   
 19. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Akili za akina Nape hizi za Personality attacks mh .Poleni nyie badala ya kukata issue mnaleta umbeya
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Una hang over za kwenye harusi ya Mdogo wake Ikulu.
   
Loading...