Wana CCM niambieni, ni eneo gani mnaweza kujivuna kuwa mnafanya vizuri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana CCM niambieni, ni eneo gani mnaweza kujivuna kuwa mnafanya vizuri?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jul 19, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kuna wana ccm kila kukicha wanaitetea serikali blindly. ukizunguka kila mahali generator, mashule hakuna walimu wala vitabu, maji safi hakuna, mfumuko wa bei, shilingi kuanguko, mauzo nje kudorora, rushwa, uzembe nk. nani anaweza kunionyesha sector ambayo unaweza kujivumia kuwa inafanya vizuri?
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kutetea sitting allowance.
   
 3. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kuharibu matokeo na safari za rais.
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Wanajivuna kuwa chama kinachoungwa mkono na wajinga wengi, wezi, mafisadi na vilaza kama simakarunguyeye.
   
 5. nzumbe

  nzumbe Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sekta zote bwana zinashida kwelikweli, ukifuatilia kwa umakini utagundua hao ni mchwa wanabungua chini mpaka juu!!.. Hakuna afadhali hata sehemu moja..
   
 6. i

  ibange JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nimeangalia taarifa ya habari TBC hapo kinondoni kuna shule watoto wanakaa chini, majengo yana nyufa kuta zinaweza kuanguka muda wowote na hata vyoo hawana. mtangazaji anauliza kama hapa mjini pako hivi vijijini itakuwaje? wakati huo madiwani wanatenga mamilioni kununua mavazi hawajali kununua madawati. ccm jamani ni ya shetani?
   
 7. i

  ibange JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimeamini ccm hata uwape miaka 100 zaidi hawataweza kuifikisha nchi popote!
   
 8. M

  Moghati Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ww ibange t seemz hw much una uwezo mdogo wa kufikiri, nadhan hata kw vyeti vyako kuna f za kutosha afu utakuw umesoma kw hivi vyuo vya ili mradi chuo eg cbe, ifm, tumaini n' otherzhttp://www.google.com
   
 9. C

  Chavuma Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wanafanya vzur kwenye MIPASHO pia, juz nilimchek mr. SIX akiWAPASHA wapinzan kuwa ni wanafiki na wasalit! Amesahau yeye usalit wake kwa CCJ?!
   
 10. M

  Moghati Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ww dogo mbona unamawazo mafupi kama huyo mwandishi 4m four failure...hivi ni shule ngapi zina mandhali nzur kinondoni kuacha hyo moja ambayo wakathttp://www.google.com
   
 11. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ccm itajivunia kuwa na rais wa kimatafa ambaye hajui matatizo ya nchi yake.
  wana haki ya kujivunia kufanikiwa kuendelea kuwepo madarakani bila ya wasi wasi wowote i.e hakuna wa kuwaondoa madarakani pamoja na matatizo yanayowakabili wananchi.
  watajivunia kuwa sera nzuri kama maisha bora kwa kila mtanzania,tatizo la umeme kuwa historia na vibwagizo maarufu kama ushindi ni lazima,kasi zaidi,nguvu zaidi na ari zaidi.hee! he! tehe! kama kuna chama chenye vichekesho duniani basi magamba nouma! NIULIZE,JK ANAIONAJE SLOGAN YA KASI ZAIDI,ARI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI?HAJAWAHI KUONGEA HYO SLOGAN BAADA YA UCHAGUZI
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wenzio wanadai wamedumisha amani na WASOMI WEENGI, Ingawaje tunawategemea sana wachina na WAWEKEZAJI!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Najaribu kufikiria lakini hata jibu la haraka halipatikani
   
 14. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Na wewe mbona umeniwahi?
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kuwa na Mwenyekiti anayefungisha ndoa IKULU
   
 16. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  [h=3]MAISHA YA MWALIMU WA SHULE ILIYOJENGWA JUU YA MADINI LUDEWA[/h]
  [​IMG]Mwalimu wa shule ya Msingi Mchuchuma ambayo imejengwa juu ya madini ya mchuchuma na Liganga wilaya ya Ludewa Bw JOSEPH THOMAS LUGOME (58) akitoka katika chuo chake
  [​IMG]Hili ni darasa ambalo limezibwa kwa madirisha ya kiaina kama linavyoonekana
  [​IMG]Hapa akikoka moto kwa ajili ya kuandaa chakula cha mchana ,shule ina walimu wawili pekee
  [​IMG]Hii ni moja kati ya nyumba za walimu shule ya msingi mchuchuma wilaya ya Ludewa
  [​IMG]elimu bora kwa wote mazingira duni kwa walimu
  [​IMG]Hili ni darasa la tano ambalo wanasomea pia wanafunzi wa darasa la sita shule nzima ina walimu wawili pekee na wote wa kiume ambapo watoto wa kike wakiugua walimu hao hufanya kazi ya kuwasaidia.

  Huu ni uchunguzi wa kina unaofanywa na mtandao huu chini ya ufadhili wa mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP) katika kuangazia maisha ya wananchi na walimu wa shule za pembezoni mwa Tanzania kama hivi
   
 17. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Wanajivunia sector ya u-handsome wa Rais kijana.
   
 18. i

  ibange JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nadhani tatizo la kufikiri liko kwako kuliko kwangu. Kwanza kudharau vyuo ulivyivitaja pekee inadhihirisha jinsi ulivyo mbumbumbu. Katika Tanzania moja ya vyuo vinavyotoa elimu bora sana ni IFM. Mtu mwenye akili anajadili hoja hatoi maneno ya kuudhi na kulenga individual kama wewe. Pinga hoja yangu usinipinge mimi. Hapa JF sidhani kama tunawahitaji watu wenye mawazo finyu kama wewe.
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kwa kweli CCM wamefanikiwa sana tena saaaana KUIBA MALI za nchi hii. wezi wakubwa hawa
   
Loading...