Bunge la sasa lanifurahisha mno

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,460
Kwa kweli furaha niliyonayo mimi lady furahia HAINA KIFANI

hili BUNGE letu la sasa halitaki mchezo jana tu nilipoona taharifa ya habari nimeachwa mdomo wazi kwa furaha
sijui wenzangu nyie
kila mbunge kukaata a kupitishwa kwa bajeti ya Wizara ya nishati na umeme si mchezo
yaani sasa wanatusikiliza sisi tulioawachagua nimefurahi mpaka hapa naandika naona
furaha katika vidole vyangu wenzangu mmelionaje hili
nijibuni
 
Hamna kitu ili wafanye kweli, Waziri wake kwanza ajiuzuru, wafanye mabadiliko makubwa kwenye ajira za wafanyakazi wa TANESCO, make wizara, na wafanyakz walio wengi ni wababaishaji. Cha msingi ni kuunda upya
 
Huu ndo utamu wa kuwa na vyama vya upinzani makini vyenye kujenga hoja makini dhidi ya serikali.subili mengi yanakuja lady.
 
Haya maamuzi ni mema kwa Taifa japo yaweza kuwa ni fitina za makundi ndani ya CCM tayari zishaanza kuwatafuna,huku EL huku JK huku S6...hold on a while!
 
Endapo kama bajeti hii ya Ngeleja ingepitishwa nilikua nimeshajiandaa kuchukua uraia wa nchi jirani na kuukana kabisa uraia wa Tanzania!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom