What the @#$#@ is going on?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Nilikuwa napitia pitia makabrasha fulani nikakutana na mpango wa maendeleo wa 2008/2009 wa serikali ya CCM na programu mbalimbali ambazo zimetengewa fedha. Just "by accident" nikaona hili nikabakia kusema!

i329_miradi2008.jpg

i330_miradi20082.jpg
 
Nionavyo mimi, nusu ya hayo matumizi ni matumizi hewa, pesa yote itaishia kwenye akaunti za mafisadi wa CCM.
 
Code 3137

Kumbe DOWANS ilishatengewa Bilion 66 au Macho yangu hayaoni Vizuri!
 
Halafu hebu angalieni walivyotenga pesa kwenye ishu za ajira usimamizi mzima wa watoto... Mbona hakuna linaloonekana kufanyika, au ni mimi niko nyakati tofauti!!?
 
Du hii kali. Nimeishiwa nguvu kabisa. Makelele yote tunayopiga na mkulu kusema sasa mjadala wa Dowans umefungwa kumbe mambo yalishapangwa longtime. K###### zao CCM
 
at least those are foreign funds...ila hiyo ya Ubungo hawa jamaa walitaka kumaliza fedha za umma. walijua shenzi hawa
 
Nakumbuka katika thread moja jana Mkandara alisema haya tunayoyaona ni utekelezaji tu wa mipango ilipangwa siku nyingi tena kwa malengo maalum, wala si bahati mbaya. Ndio maana utaona ina maandalizi kabisa na hata jinsi gani watailinda kama ikijulikana. Nami nakubaliana naye kwa asilimia zote, huu ni mfano wake.
 
Halafu hebu angalieni walivyotenga pesa kwenye ishu za ajira usimamizi mzima wa watoto... Mbona hakuna linaloonekana kufanyika, au ni mimi niko nyakati tofauti!!?

Code 5414, hiyo ni typing error or something have already happened maana kuna Child Protection and Participation Mara mbili with the same code but difference amount of Fund
 
at least those are foreign funds...ila hiyo ya Ubungo hawa jamaa walitaka kumaliza fedha za umma. walijua shenzi hawa

At what cost are you trying to justify that at least those a foreign funds? why tanzaniana are still clinging to foreign aid and become very dismissive of misuse of loand, grants and aids from donors?

Gosh, have a nerve to feel ashamed for uttering such stupid sigh!
 
Halafu hebu angalieni walivyotenga pesa kwenye ishu za ajira usimamizi mzima wa watoto... Mbona hakuna linaloonekana kufanyika, au ni mimi niko nyakati tofauti!!?

Hauko pekee yako. Haingii akilini wakatumie pesa nyingi kiasi hicho kusimamia issue ya ajira za Watoto. Ni lipi walilofanya lililostahili pesa nyingi kiasi hicho!!? Wizi mtupu!!!!
 
Pesa inafanya kazi - eti kuna wazee wastaafu wa CCM - fedha za kujikimu zitapatikanaje ? Ndiyo maana hivi sasa nguvu kubwa zinaelekezwa kwa vyombo huru kama JF - hizo pesa za kuwalipa watetezi zipatikane wapi ? Nasikia kujiunga JF imekuwa misheni sawa na ile mikataba inayojulikana mitaani kama ya BOT !! - yaani fedha nje nje. Je, ni azimio jipya la CCM ?
 
Code 3137

Kumbe DOWANS ilishatengewa Bilion 66 au Macho yangu hayaoni Vizuri!

Ubungo gas fired power plant haina maana kuwa ni Dowans. Kuna Songas and other companies. Na huu ni mpango wa maendeleo [wa CCM au serikali?] kati ya mwaka 200 hadi 2009. So, pengine wakati wanaandaa mpango huu wazo lilikuwa serikali inunue mitambo ya kuendeshwa kwa gesi [not necessarily from Dowans]. This is not even annual budget [approved by the parliament]. Inawezekana tangu waandae mpango huu, ni activities chache tu zimeweza kuingia kwenye bajeti za mwaka.

Sasa najua utasema natetea serikali or whoever is behind this plan. You will be wrong. Ninachotaka kusema ni kuwa, we should not be quick at jumping into conclusions. Maybe this document isn't valid anyway.
 
Last edited:
Yaani, ngoja waandamane kuuunga mkono mipango "yao" ya maendeleo "yao"... Hii inanikumbusha walivyofanya kwenye bodi ya mikopo kabla sijawaambua miaka ile! Mimi nadhani kuna mahali fulani hawa jamaa wanafundishana kuchota hela! Utagundua kuwa kwenye suala la Dowans, walitenga hela zetu (siyo za wafadhili) lakini kwenye miradi ya ajira za watoto wakatenga za wageni!
 
Ubungo gas fired power plant haina maana kuwa ni Dowans. Kuna Songas and other companies. Na huu ni mpango wa maendeleo [wa CCM au serikali?] kati ya mwaka 200 hadi 2009. So, pengine wakati wanaandaa mpango huu wazo lilikuwa serikali inunue mitambo ya kuendeshwa kwa gesi [not necessarily from Dowans]. This is not even annual budget [approved by the parliament]. Inawezekana tangu waandae mpango huu, ni activities chache tu zimeweza kuingia kwenye bajeti za mwaka.

Sasa najua utasema natetea serikali or whoever is behind this plan. You will be wrong. Ninachotaka kusema ni kuwa, we should not be quick at jumping into conclusions. It maybe that this document isn't valid anyway.

Mkuu Zungu Pule!

Hivi waweza kunikumusha Gharama za Mitambo ya DOWANS as per TANESCO! Yawezekana nime jump toward conclusion lakini ingekuwa vyema ukaonyesha kwamba hu ja jump toward UTETEZI
 
EXPANSITION is not a word! If you are gonna steal from me at least run a spell checker first!
 
At what cost are you trying to justify that at least those a foreign funds? why tanzaniana are still clinging to foreign aid and become very dismissive of misuse of loand, grants and aids from donors?

Gosh, have a nerve to feel ashamed for uttering such stupid sigh!

Bravo!! This is no different frm what Mkulo said in Parliament to justify the EPA scandal by saying stolen money did not belong to wananchi, as if it was ok for those thugs to get away with it!!!!
 
Back
Top Bottom