Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mradi wa gesi ya Songo-songo unajulikana zaidi kama “Songas” - ambao unamilikiwa na kuendeshwa na kampuni ijulikanayo kama Pan African ni wa kijinga na hauna maslahi yoyote kwa mtanzania kwanini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tulianza pamoja, na tutamaliza pamoja. Nakumbuka wakati tunafanya sherehe ya kujipongeza kwa ushindi wa Jimbo la ubungo, tulimwambie kamanda huyu kuwa tunakutuma bungeni ukawe mbunge wa mfano...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Taasisi ya Ustawi wa Jamii ipo katika hali mbaya sana kutokana na menejimenti mbovu na uongozi mbovu wa serikali ya wanafunzi. Wahadhiri wa Taasisi hiyo wapo katika mgomo toka Jumatatu...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Abdallah Bakari 20 July 2011 Mtwara - Four international companies have declared interests to invest in gas and oil exploration in Mtwara Region, it was announced here on Tuesday. Briefing the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mawazo yenu juu ya mada hii! Ninamaanisha nani angetoa maamuzi magumu kati ya lOWASA VS MTOTO WA MKULIMA (PINDA) Kwa mtazamo wangu Lowasa angemtimua mbele ya bunge then waje wamalizane na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Spika ambana Waziri Mkulo *Wataka majina waliochukua mabilioni kufufua uchumi Na Gladness Mboma, Dodoma Majira SPIKA wa Bunge, Bi. Anne Makinda amemtaka Waziri wa Fedha na Uchumi, Bw. Mustafa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa Pinda anaposema eti Hadi Mkwe.le arud ndo ataamua nini cha kumfanya Jairo. My Concern: Hiv nini Kazi ya Dr. Bilal pale Mkwel.e anapokuwa Nje Kutalii na kuhudhuria Vipa Imara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) na Mbunge wa Viti Maalumu, Mary Chatanda (CCM) jana walilumbana bungeni kuhusu mauaji yaliyotokea mkoani Arusha, huku Lema akimtuhumu mwenzake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni homerowk unaweza kufanya kama classwork Tanzania ina wizara ngapi? Kila wizara ina wastani wa Idara ngapi. Watsani? Kila idara ya wizara x ya serikali ikichangia milioni 50...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu, nimeletewa hii kitu hebu isomeni kwa makini na haswa kuhusu maneno yaliyotumiwa na hawa viongozi halafu fanya tafakuri ya kina nini kinaendelea ndani ya CCM na taifa kwa ujumla , pia hili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hali hii ya mgawo wa umeme sasa ni tata sana. Watu wanalalamikia hali hii. Tujuavyo sisi wa TZ ni watu tunaoongozwa na matukio. Tukio linakuja linaisha hakuna kinachoendelea katika eneo la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata taarifa kuwa jana mahabusu wa hapa magereza ya Arusha walishindwa kufikishwa mahakamani baada ya karandinga kukosa mafuta..hali hiyo ilipelekea valangati kubwa huko magereza, mahabusu...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Wenzetu Waliochoka na unyanyasaji. Utulivu siyo Amani.........Kikwete Ujumbe ni wako, you are next http://youtu.be/n81cs8VHd1I http://youtu.be/BiWd8NjhsHo
0 Reactions
1 Replies
793 Views
India is trying to be China and it is not ! they thinks that a few nice words from America make it a real player on the world stage but the reality is that it has to sort out its own extreme...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau hivi sasa PM anaulizwa maswali lakini hataki kupokea ushauri wa kiongozi wa upinzani bungeni kuhusu umeme na kasema upinzani wasubili serikali iendelee na utaratibu wake wa kuwapatia umeme...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
spika anadai anasubiri barua kutoka kwa chama ili aweze kutambua kujiuzulu kwa Rostam na kwamba barua ya rostam pekee haitoshi kutangaza kuthibitisha kujiuzuru kwake. lakini kwenye miaka ya 90...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
British firm urged to pay Tanzania Sh4.2bn British MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m (TSh73.8billion, Ksh4.2bn) in full and immediately – or face legal...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Any foreign investment policy must attach three strings that a foreign investor should bring to Tanzania and these are; it must boost the economy of the country and that of the local community of...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
...angalia walichoanza kukifanya jana! \usipochukua hatua sahihi SASA utakuja kuabika na utajuta hata kuwa rais wa nchi hii. UNAWEZA KUWADANGANYA BAADHI YA WATU MUDA WOTE, LAKINI HUWEZI...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
NDUGU ZANGU, HILI SUALA MNALIONAJE MAANA NAONA SASA “LOBBYING” INACHUKUA PICHA TOFAUTI KABISA KATIKA NCHI YETU. GHAFLA INAYO ANDALIWA NA VODACOM KUHUDHURIWA NA WAZIRI MKUU...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…