Kamanda mnyika kazi tulikutuma unaifanya vyema

Jiwe la Ukara

Member
Jul 15, 2011
44
31
Tulianza pamoja, na tutamaliza pamoja.

Nakumbuka wakati tunafanya sherehe ya kujipongeza kwa ushindi wa Jimbo la ubungo, tulimwambie kamanda huyu kuwa tunakutuma bungeni ukawe mbunge wa mfano ambaye kamwe hutokuja kujiinua na kujiona kuwa ni maarufu kuliko CHADEMA ka mawabunge wengine vijana. Kamanda kazi umeifanya.Tunapolekea kutimiza mwaka mmoja wa Ubunge wako kazi tuliyokutuma kuifanya unaendela kuifanya. Wewe si mdune wa Ubungo tu, bali ni mbunge wa Vijana na Dar es Salaaam nzima.

Nakupigia saluti Kamanda..wewe ni Mbunge wa mfano.

TUMEANZA PAMOJA, TUTAMALIZA PAMOJA!
 
Japo ungeainisha kitu2 gani kafanya ili wale ambao si mbunge wao wajue kimba kidogo bana
 
tena unaifanya kwa ufasaha zaidi... Endelea hivyo hivyo, maendeleo ubungo ni muhimu!
 
Mnyika ni Mbunge makini na bora kabisa sio kwamba namsifu ila kwa jinsi nilivyofuatilia hili Bunge uwakilishi wake umejaa ufanisi wa khali ya juu anajua anachokifanya na alichotumwa kukifanya ndomana kila akipata fursa yakuchangia unaona kabisa ufahamu wake wa kile anachoongea/changia na wajibu wake wakuisimamia serikali na sio kupiga blabla kama wabunge wengine.
Kingine nachompendea Mnyika nikwamba anatoa feedback kwa yote anayoyafanya Bungeni na Jimboni mwake ni Mbunge pekee anayoitumia Teknojia ya Mawasiliano inavyotakiwa ukiingia kwenye Blog yake utaona yote aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya tangu amechaguliwa na Dunia ya leo ndo inahitaji viongozi wa aina hii.Hongera sana Mbunge Mnyika keep it up.
 
Back
Top Bottom