Jamani tokea hili bunge lianze nimekuwa nikiona spika, naibu au mwenyekiti, akiwa na kiu kubwa ya kuomba uthibitisho wa jambo fulani hasa lililotamkwa na wabunge wa upinzani. Wabunge wetu wamekuwa...
Mbunge wa nkasi kusini mh deogratias ameuliza je chakula kinakatazwa kuuzwa nje ya nchi sababu akuna uchaguzi wa siasa ama??hivi ninyi mnatuzuia kuuza vyakula nje ya nchi kungekuwa na uchaguzi...
Ya kwetu baadhi yake ni pamoja na haya:
Kwa mara yakwanza kuona jana wabunge wakijivisha vibwebwe na kuitolea radhi serikali ya Kikwete nahisi Kikwete anahitaji kusikiliza hoja za wapinzani...
Niukweli usio pingika kwamba watanzania ni lazima tubadilike la sivyo tutatengeneza matabaka ndani ya nchi yetu
wenyewe tusipo kuwa makini!!!hayati baba wa taifa hili alijitahidi kupga vita...
Hivi haya maisha tunayapeleka wapi?...ndivyo tulivyoamua..haya ngoja twende tuone kama tutafika..
''Mgawo wa umeme wafikia saa 18 kwa siku
Monday, 25 July 2011 09:32
Daniel Mjema
MAKALI ya...
Na Godfrey Ismaely, Dodoma
MBUNGE wa Ole Rajab Mbarouk Mohammed (CUF), amemjia juu mbunge wa Geita, Bw. Donald Max (CCM) kwa kuifananisha Zanzibar na wilaya.Wakati akichangia
hotuba ya Wizara ya...
Ndugu wanajamii. Napendekeza mwaka 2015 tuchague mfanya biashara maarufu mwenye mafanikio makubwa na sio mwenye jina kubwa lakini mikopo ya benki kibao. Brazil walimchagua mfanya biashara...
Anna Abdallah, Kilango waishambulia bungeni
na Tamali Vullu, Dodoma
WABUNGE wa Chama cha Mapinduzi (CCM) juzi na jana waliicharukia serikali na watendaji wake kutokana na ufisadi...
Naombeni radhi JF kuchelewa kuileta hii habari mapema hii ni sababu ya Ngeleja na miradi yake
mkutano ulikuwa na watu wengi kutoka wilya zote za Mbeya ila ni 1/4 ya Ile ya CDM palepale uwanja wa...
Diwani wa ccm wilayani Mbinga ambaye pia ni mwenyekiti wa UVCCM wilayani humo amehukumiwa kwenda jela miaka 36 na kutakiwa kurudisha fedha kiasi cha mil 80 alichoiba katika kampuni ya kubangua...
MADIWANI saba kati ya 11 wa Chadema jijini hapa wamegoma kujiuzulu nyadhifa zao au kuomba msamaha kama walivyotakiwa kufanya na uongozi wa juu wa chama hicho.
Miongoni mwa waliogoma ni pamoja...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye
Kuanzia Uchaguzi Mkuu mwaka jana, tumeshuhudia CCM kuiga mbinu za kampeni kutoka Chadema kama kutumia Chopper (helkopta)...
Kwa mwelekeo huu wa nchi kuwa gizani na bila kuwa na uhakika wa lini patakucha ni bora tuigawe nchi maana watawala wetu wamekosa maono na kubakia watumwa wa Posho na Rushwa.Nashauri tuanze na...
habari wana jf
kama kuna thread inahusiana na hii cartoon naomba moderator uiunganishe.
mbali na hapo, hii ni nzuri kuanzia kufikiri ni jinsi gani ilivyo vigumu 'kujivua gamba' tofauti na...
Inasikitisha sana Tz kugeuzwa dampo la bidhaa feki zilizokataliwa nchi nyingine shamba la bibi ambalo kila mjanja anakuja kuvuna na kuondoka tena kwa amani kabisa akipewa na ulinzi wa askari wetu...
Nakumbuka uliposimama na kuishawishi serikali Kuongeza ushuru wa mafuta ya taa kwamba ndo solution ya tatizo la uchakachuaji,niwazi hukufikiri sana ushauri wako kwani Kama ungefanya utafiti kidogo...
Kuelekea uchaguzi kwa 2015, habari za kuaminika kutoka vyanzo visivyopenda kujulikana zinadai kuwa hawa jamaa sasa hivi hawaivi chungu kimoja. Ingawa mwaka 2005 walikuwa pamoja, inaaminika kuwa...
Wakuu ingawa mawasiliano na makamanda walioko field huko Tabora katika Operesheni Chukua Igunga (OCI), si mazuri sana, bado tumeweza kupata walau taarifa kidogo juu ya kinachoendelea. Taarifa...
WANYOSHEANA VIDOLE KUMTAFUTA MCHAWI
Ramadhan Semtawa na Joyce Mmasi
Tuesday, 26 July 2011
KAULI tofauti zinazotolewa na viongozi wa Serikali, akiwamo Rais Jakaya Kikwete na baadhi ya mawaziri...
Chadema yamjibu Nape kuhusu nyaraka
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezikana nyaraka za siri zilizodaiwa...