kwa wale tunaofuatilia bunge la awamu ya nne utagundua kuwa wabunge wengi wa CCM wanapwaya katika bunge lenye upinzan imara, wengi wao bado wanaishi kwenye miaka ya 80 ambapo chama kilikuwa na...
Ukiwa msomi ,ingawa bado sijui usomi unaanzia wapi na kuishia wapi,hii nchi ina wasomi gani wa kujivunia kwa waliyolifanyia taifa,maana kumezuka dhana siku hizi watu wenye elimu ya kawaida...
"Nikiwa bungeni Dodoma nimefuatilia kupitia vyombo vya habari mdahalo wa katiba ambao umefanyika Ubungo Plaza. Natoa salamu za mshikamano na pongezi kwa waandaaji, watoa mada na washiriki wa...
Kwa hotuba ya Lema bungeni wiki iliyopita kuna haja ya kuichagiza na nukuu za Malcolm X ili iwe ya moto zaidi.
X alikuwa hana msalia mtume na mtu anayemnyanyasa kama vile Lema alivyojipambanua...
Kuna nguvu kubwa sana na challenge kutoka kwa wapinzani Bungeni kuhusu muelekeo wa nchi, uchumi, nk. Lakini agenda yao haitoweza kufanya kazi yoyote kwa sababu status quo hawakubali kuachia...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Rais wa Tanzania J.M. Kikwete alijikuta anapata wakati mgumu pale alipokuwa anakatisha katika vijiji mbalimbali vya wilaya ya Tandahimba. Mheshimiwa huyo alijikuta...
leo nimesikiliza hotuba ya nyerere akizungumzia siasa ni kilimo ya mwaka 1972. nimesoma kitabu cha maazimio hayo ambayo ilikuwa ni kuacha jembe la mkono, umwagiliaji, kulima kwa kisasa, kutumia...
By ADAM IHUCHA
Posted Sunday, July 31 2011 at 12:40
The East African Community Secretariat wants its hunger-stricken partner states to contact Tanzania for emergency food procurement.
EAC...
Ndugu wanaJF, nadhani hata nyinyi mmekuwa mkikerwa na baadhi ya wabunge wa CCM na mawaziri wanaodhani wao tu ndio wanaofuata sheria na wafuasi wa vyama vingine hawazifuati. Hotuba iliyosomwa na...
Jamani Wanajamvi,
huwa nashindwa kuelewa baadhi ya watu wanapotoa kauli if they ever think kwamba life ni Paradox.
Hapo nyuma kidogo kuna yule jamaa ambaye nahisi kibarua chake kimeota nyasi...
Mwenyekiti wa CUF taifa Prof Lipumba amemkana mbunge wake Juma Haji Kombo kuwa kauli aliyoitoa bungeni aliposimama kutoa taarifa kwa Spika kuwa wao wabunge wa CUF wamejitoa katika kambi rasmi...
Cabinet minister Najib Balala and nominated MP Amina Abdalla on Friday reacted to a United Nations report naming them among Kenyans whose donations had been funnelled to the Somali terrorist group...
Unasema ""tatizo watu wanachukua maneno ambayo hayajatolewa ufafanuzi"" ilikuwaje wewe ukaongelea suala la mshahara wa Dr. Slaa, na barua ya kuhimiza maandamano, mambo ambayo hayakutolewa...
KAULI za kuendelea na maandamamo mpaka kieleweke ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa Chadema zinaonekana kuikera Serikali na sasa inakusudia kuifanyia marekebisho sheria husika ili...
Taarifa kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinasema tayari chama hicho kimepanga kumuita Rostam katika mkutano wa Kamati Kuu (CC) uliopangwa kufanyika 30 Julai 2011 kwa lengo la...
Na Maggid Mjengwa,
PTOLEMY, mwanafalsafa wa Kiyunani alipata kuandika: Ex Africa simper aliquid novi". Maana yake: "Kila kukicha kitazuka kioja kingine Afrika."
Naandika makala haya nikiwa...