Kuna nguvu kubwa sana na challenge kutoka kwa wapinzani Bungeni kuhusu muelekeo wa nchi, uchumi, nk. Lakini agenda yao haitoweza kufanya kazi yoyote kwa sababu status quo hawakubali kuachia maslahi yao yachezewe bila ya ruhsa yao. Wabunge wa CCM ambao ni majority, wanaendesha nchi kwa njia ambazo washazizoea status quo, na hawa wapinzani ambao wengi wao ni freshman wanajribu kuchallenge status quo.
Swali la kujiuliza, je CCM itaweza kufanya kazi pamoja na hawa freshman, au hawa freshman wanaweza kufanya kazi na CCM? Hata hivyo bado CCM wanaadvantage kubwa kwa sababu ni majority. Let's see
Swali la kujiuliza, je CCM itaweza kufanya kazi pamoja na hawa freshman, au hawa freshman wanaweza kufanya kazi na CCM? Hata hivyo bado CCM wanaadvantage kubwa kwa sababu ni majority. Let's see