Chenge kujivua gamba leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chenge kujivua gamba leo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Jul 31, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!  Willie @ NYC, USA.
   
 2. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  sasa ccm imekwisha kama ni kweli,hivi amebaki mwanasheria gani? Huko kwa mtazamo wa wananchi nisahihi kabisa ila kwa ccm ni kifo kikubwa,wasifanya mambo kufuata mkubwa maana kubwa lao halitoki linaendelea kutafuna kama vp? Naye actp dwn bac
   
 3. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu wa nch n ln naye!
   
 4. e

  elly1978 Senior Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hadi ubunge?
   
 5. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Vip kajitoa na Ubunge au ni uNEC tu?
   
 6. escober

  escober JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hilo lina manufaa gani kwa taifa letu. i just thought the man has returned all that he has stole from us and he is serving 30 years in jail.
   
 7. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  democracia ya kweli ya vyama vingi itapatikana siku ya matanga ya ccm. kujivua magamba kuna mengine yanakuwa.let c if it will work
   
 8. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Tunataka na JK naye ajivue gamba pamoja na orodha ya mafisadi wakuu 11 (list of shame ya Mwembe Yanga).
  Huo ni usanii kutaka kutudanganya...mbona tangu Rostam aachie ngazi hali haibadiliki? Mafuta waisema yatashuku bei yanazidi kupaa, sukari bei usitaje, na mwezi wa Ramadhani unaanza dk yoyote kuanzia sasa mambo yanazidi... wasitudanganye hao
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Watamuweka werema
  <br />
  <br />
   
 10. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Nani ataitetea Serikali ya JK na Kesi hizo za Kimataifa?
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jul 31, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Jimbo lipo wazi, hesabu za wabunge wa chadema 48 + 4 =52. Igunga, Bariadi, Monduli na Arumeru Mash.
   
 12. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona hiyo haisaidii chama chote cha magamba kiachie ngazi wanawaonea tu na si vinginevyo makima hao.
   
 13. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Will, his abdication, ameliorate the current power crisis anyways? At this point of time, people need to be assured about the country's future economic health rather than constantly hearing about political stories.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  huyo mzee alivomlafi wa madaraka sisdhani kama atautema ubunge.
   
 15. msani

  msani JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mi nadhani kama amejivua gamba kinachofuatia ni kushitakiwa na kurudisha mali za taifa hili maana naona kama kuachia ngazi ndo imekuwa fashion ya kusamehewa mabaya ambayo yamekufanya uachie ngazi,wasiposhitakiwa basi wananchi wataaamua
   
 16. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  kujivua gamba bila kushtakiwa hakuna maana.
   
 17. msani

  msani JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mi nadhani kama amejivua gamba kinachofuatia ni kushitakiwa na kurudisha mali za taifa hili maana naona kama kuachia ngazi ndo imekuwa fashion ya kusamehewa mabaya ambayo yamekufanya uachie ngazi,wasiposhitakiwa basi wananchi wataaamua
   
 18. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  CCM sasa wanagawana fito walizokuwa wakiambiwa na kiranja wao wa ufisadi(kikwete) wasizigombee kwa kuwa walikuwa wanajenga nyumba moja.

  Ma-revolutionists tupo tayari kwa mabadiliko.

  Gawaneni hizo fito. Mkimaliza mtuambie ama msipotuambia tutajua tu.
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama kweli itakuwa njema ila EL nae sasa si aende!
   
 20. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kujiondoa CC, NEC au hata kuachia Ubunge bila kurudisha hela waliyoiba, haisaidii chochote. Hii nchi hiko ICU. We need a very strong person who can make noticable changes.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...