JK mwaka huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK mwaka huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Darwin, Aug 1, 2011.

 1. D

  Darwin JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ina maana wanaoenda kumsikiliza wengi wao ni waandishi wa habari tu? Rais.jpg
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  He has no value any more!he has lost his credebility as a president
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamaa muda utafika atahutubia viti na miti tuu.
   
 4. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Duh, makubwa!
   
 5. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaka ni kweli basi amefikia hatua mbaya zaidi
   
 6. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  na bado lakini mie naona anajitesa kwa nini asiweke sifa njema ya kujitoa kwenye madaraka yalomshinda?
   
 7. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Wamekosa hata wanafunzi wa shule za msingi? Ana hali mbaya lakini si alisema urais wake ni wa familia? Inamaana hata Rz1 naye kamkimbia?
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama ni hirizi ya ulinzi basi itakua imechuja na kwa bahati mbaya ndio hivo yule mtaalam mrekebishaji na 'Mlinzi wa Amani' wa rais, marehemu Sheikh Yahaya, ndio huyo kawa muoga na kutangulia mbele ya haki kabla ya wakati.
   
Loading...