Lipumba amkana mbunge wa CUF

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Mwenyekiti wa CUF taifa Prof Lipumba amemkana mbunge wake Juma Haji Kombo kuwa kauli aliyoitoa bungeni aliposimama kutoa taarifa kwa Spika kuwa wao wabunge wa CUF wamejitoa katika kambi rasmi Bungeni kwa kuwa hawawezi kuongozwa na mnadhimu asiyekuwa na nidhamu bungeni kuwa ni yake binafsi na si kauli ya chama.

Chanzo cha habari gazeti la jambo leo 31/7/2011
 
Lipumba ni mtu makini,ni bahati mbaya kuwa wamezungukwa na CCM kwa upande wa Zanzibar na kujikuta wameingia mkenge ila ki ukweli mimi namkubali na ni mtu wa hoja makini,hawezi kusapoti kinachofanywa na CCM bungeni.
 
Unajua yule Mbunge alionyesha kiwango chake cha juu cha kufikiri. hakuonyesha ni kwa namna gani Lisu alikosa nidhamu. Mtu yeyote anaweza kumtuhumu mwenzake kuwa hana nidhamu. Besides, Ndugai ameshindwa kutestify beyond reasonable doubt utovu wa nidhamu wa Lisu ndo maana aliishia kukishambulia cdm.
 
mwenyekiti wa cuf taifa prof lipumba amemkana mbunge wake juma haji kombo kuwa kauli aliyoitoa bungeni aliposimama kutoa taarifa kwa spika kuwa wao wabunge wa cuf wamejitoa katika kambi rasmi bungeni kwa kuwa hawawezi kuongozwa na mnadhimu asiyekuwa na nidhamu bungeni kuwa ni yake binafsi na si kauli ya chama. Chanzo cha habari gazeti la jambo leo 31/7/2011

hakuna kitu hapo juma haji anaona mbaliii.kimweriii
 
lipumba is two faced,usimwamini huyo,leo anact kama mpinzani kesho ccm..hiyo yote mkono uende kinywani..mchumia tumbo.
 
wabunge wengine njaa zinawasumbua huyo mbunge usishangae aliahidiwa dau nono atapewa baadaye baada ya kuongea utumbo wake bungeni
 
lipumba is two faced,usimwamini huyo,leo anact kama mpinzani kesho ccm..hiyo yote mkono uende kinywani..mchumia tumbo.

Mkuu unamfahamu Lipumba au umemjulia majukwaani. Ongea mengine ila kwenye suala la masilahi hapana, fanya utafiti kabla ya kuandika mkuu hii ni JF, usidhani kwa kuwa upo alone kwenye key board basi unaweza andika tu bila facts. Hebu ingia hapa umfahamu huyu bwana kama ni mchumia tumbo. Angekuwa mchumia tumbo asingeingia kwenye siasa za ubabaishaji za Tanzania. http://www.tiger.edu.pl/onas/rada/lipumba.pdf
 
lipumba is two faced,usimwamini huyo,leo anact kama mpinzani kesho ccm..hiyo yote mkono uende kinywani..mchumia tumbo.
being two faced ndivyo walivyo watu wengi wa namna yake. Mcheki Malaria Sugu/Mhadhiri, wacheki wabunge wa Cuf, Mcheki Jah-Kaya, Mcheki Bilal na wengine mitaani na wale wanaoshinda na kulala kwenye nyumba zao za ibada, wamekaa kinafiki nafiki tu
 
Juma Haji Kombo aliongea kama mwakilishi wa wabunge wenzake wa Cuf waliopo bungeni. Wakati anatoa taarifa alikua anashangiliwa na wabunge wenzake wa Cuf. Nadhani Lipumba ndiye hajui kinachoendelea ktk chama chake. Angemwuliza kwanza boss wake Seif Sharrif Hamad! Huyo na wapemba wenzake ndiyo wenye Cuf.
 
being two faced ndivyo walivyo watu wengi wa namna yake. Mcheki Malaria Sugu/Mhadhiri, wacheki wabunge wa Cuf, Mcheki Jah-Kaya, Mcheki Bilal na wengine mitaani na wale wanaoshinda na kulala kwenye nyumba zao za ibada, wamekaa kinafiki nafiki tu
haya sasa unaanza kuleta udini tena, lini utakuwa wewe ?
 
mwenyekitikashasemakuwa wazo ni lake so hakunamabishano tena hapo,hatakama alishangiliwa nabunge zima lile tamko ni la kwake na si la chama
 
hakuna kitu hapo juma haji anaona mbaliii

seo4.jpg
seo3.jpg

signature.jpg
song.jpg

baby2.jpg
 
haya sasa unaanza kuleta udini tena, lini utakuwa wewe ?
Hapa sijauelewa bado udini uko wapi! hivi ni kweli kuna wanaoshinda na kulala kwenye nyumba za ibada? kama wapo naomba unijurishe maana mimi sijui, na kama wanafanya hivyo je kazi wanafanya saa ngapi?
 
Mkuu unamfahamu Lipumba au umemjulia majukwaani. Ongea mengine ila kwenye suala la masilahi hapana, fanya utafiti kabla ya kuandika mkuu hii ni JF, usidhani kwa kuwa upo alone kwenye key board basi unaweza andika tu bila facts. Hebu ingia hapa umfahamu huyu bwana kama ni mchumia tumbo. Angekuwa mchumia tumbo asingeingia kwenye siasa za ubabaishaji za Tanzania. http://www.tiger.edu.pl/onas/rada/lipumba.pdf
ndio maana nikasema he is two faced,..walipokuwa wanazunguka na mbatia na hamad kulaani maandamano ya CDM,alikuwa anatetea maslahi ya taifa au ya ccm??narudia kusema ni mchumia tumbo..shahada zisikutishe..maprofesa wengi wapo kwenye siasa na mafisadi..
 
Back
Top Bottom