Hao wanaosema CCM wamefanya mengi someni hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hao wanaosema CCM wamefanya mengi someni hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Aug 1, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  leo nimesikiliza hotuba ya nyerere akizungumzia siasa ni kilimo ya mwaka 1972. nimesoma kitabu cha maazimio hayo ambayo ilikuwa ni kuacha jembe la mkono, umwagiliaji, kulima kwa kisasa, kutumia mbolea, madawa, ku process mazao bila kuuza raw material nje, kujitosheleza chakula nk. miaka 40 sasa soma kilimo kwanza wame copy na ku paste yale. je, miaka 40 hiyo ccm watuambie wamefanya nini kwenye kilimo
   
Loading...