Kauli hizi., Mwingine naye huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hizi., Mwingine naye huyu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbimbinho, Aug 1, 2011.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Jamani Wanajamvi,
  huwa nashindwa kuelewa baadhi ya watu wanapotoa kauli if they ever think kwamba life ni Paradox.
  Hapo nyuma kidogo kuna yule jamaa ambaye nahisi kibarua chake kimeota nyasi alipohama kutoka MAGAMBAZ aliapa tena kwa nguvu zote kabisa, nanukuu, "MIMI KURUDI SISIEMU HAITAWEZEKANA LABDA NITEMBEE NA MAMA YANGU MZAZI".

  Lakin now yupo huko na alikuwa ze hedi of Kupon ya Propaganda. Sasa hapa nina maswali mengi sana..., hopa mnanisadia kufikiria hapa...!
  Huyu naye mwingine Anaropoka kuwa CDM wakichukua nchi atajinyonga. Jamani hivi mtu huyu anajua anachoongea au ni nini hasa?


  Nachoka zaidi nikikumbuka kuwa Mkuu wao alishawahi toa ahadi ya kubadilisha KG Kuwa ka Dubai (Hapa honestly sitaki kuamini kama ni yeye mkuu mwenyewe ndo aliongea hii kitu, don't wana believe kwamba my Prez has reached that critical point to have turmol kwa his brain) No no noh, tht can't be a head of a state.

  MY TAKE: Ifikie wakati viongozi wetu muwe mnaomba ushauri hata kwa watoto wenu kama hamna washauri kabla ya kuropoka na kujiabisha ninyi wenyewe...!!
   
Loading...