KATIBU MKUU WA 'CCM', taifa Nape Nnauye naomba unijibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KATIBU MKUU WA 'CCM', taifa Nape Nnauye naomba unijibu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amaniwakusoma, Aug 1, 2011.

 1. a

  amaniwakusoma Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unasema ""tatizo watu wanachukua maneno ambayo hayajatolewa ufafanuzi"" ilikuwaje wewe ukaongelea suala la mshahara wa Dr. Slaa, na barua ya kuhimiza maandamano, mambo ambayo hayakutolewa ufafanuzi?

  Au kuna mtu alivizungumzia? Vp kuhusu haya magamba ambayo CCM inajivua, kama hayatakiwi kwenye chama chenu kwa sababu ya "dhambi" zao, then, huoni kuwa hizi dhambi zinatosha kuwa kesi ya kujibu mahakamani?

  Serikal inayoongozwa na CCM ambayo wewe ni katibu mkuu wa NEC itakuwa tayari kuwafungulia mashitaka juu ya hayo "MADHAMBI" yao ambayo ni dhahiri kuwa ni "UFISADI?"

  Vinginevyo wataendelea kulitafuna Taifa letu! Na je, utakuwa tayari kumwambia Jaji Werema badala ya kuleta muswada wa sheria ya kudhibiti maandamano alete muswada wa kudhibiti UFISADI?

  Maana ndilo jambo linalotuumiza kwa sasa, lazima serikali iwe na "PRIORITIES" Au chama na Serikali havina washauri?
   
 2. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwa kifupi ndugu serikali haina washauri walio makini ndio maana nchi imeyumba sana siajabu ukaona hata kesho wako mitaani wakiomba haki yao
   
 3. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Katu Nape hawezi kujitokeza kujibu hoja ngumu kama hizi
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  niliweka hoja yangu humu kumhusu huyo Nape mpaka leo kimyaaa hajajibu
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hana jibu ndo mana hajitokezi kujibu na hii inatoka na kutokuwa na uwajibikaji ndani ya chama.
   
 6. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hawezi kuja kujibu si mtaona
   
Loading...