Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najua ewe rais wetu unashindwa kufanya maamuzi magumu kutokana na utata wa chaka lenyewe. Tunajua umeshika kiberiti ukitaka kulipua hilo chaka lililolowa wese kumbe na wewe umelowa wese. Ni...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
mstahiki meya wa jiji la dsm dr masabuli aibua kashfa nzito kuhusu masuala ya mikataba ya kifisadi,,anasema anataka kuona nani wa kuwajibishwa kati yake na wengine,kazungumzia mikataba ya machinga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kabla ya kujua mengi zaidi kuhusu secret societies na conspiracy theories mbali mbali nilipata ugumu kujua kwanini baadhi ya viongozi wanafanya mambo kinyume kabisa na waliowachagua na wanashindwa...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Mwanzoni nilivyokuwa na sikia promotion nilifiki itakuwa na mvuto lkn sasa nimeona tofauti haina sauti rangi nyingi na isitoshe picha zake nyembamba na maanisha clouds tv km ndo wanataka...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
VYAMA vya siasa nchini vitaendelea kufanya maandamano ya amani pale inapobidi kwa kuwa hatua hiyo inaruhusiwa kisheria na ni haki ya msingi ya kila mtu na chama chake katika kujitafutia haki...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Makamba aliwahi kusema “CCM hatuwezi kamwe na wala hatuna mpango wa kumtosa katika kinyang’anyiro cha mwakani Rais Kikwete kwa kuwa ni maarufu kuliko hata chama chetu, huwezi kumtosa mtu kama huyu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mh.omar nundu ameonesha umakini na kutumia taaluma yake kwa kumuomba waziri mkuu nyongeza ya pesa ili kuongeza bajeti ya wizara yake.tatizo ni kuwa wizara aliyopewa ni bomu na litamlipukia...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tangu jana wenyeviti wa kuendesha Bunge na wewe mwenyeo leo umeonyesha huna mchezo tena wa kuendekeza miongozo,nimelishuhudia ukimzima Ole Sendeka alipotaka MB.Silinde afute kauli yake kwamba kuna...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tangu nianze kuangalia bunge la TZ kwa awamu hii na kuwaona wabunge mbalimbali wakichangia hoja kinachonivutia ni staili ya uchangiaji wa mbunge wa Vunjo mh. Mrema, yy hawezi kuchangia hoja pasipo...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
STATEMENT OF PEOPLE LIVING WITH HIV IN TANZANIA TO THE UNAIDS COUNTRY COORDINATOR AGAINST THE PARLIAMENTARIAN DISCRIMINATING AND STIGMATIZING STATEMENT TO THE PLHIV DURING THE ONGOING BUDGETARY...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
ni kipindi sasa tangu mheshimiwa Kafulila awatuhumu baadhi ya wabunge kuomba rushwa kwenye kamati ya mheshimiwa Mrema ya serikali za mitaa lakini sijasikia chochote kinachoendelea. Hivi wadau...
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Gazeti la Mwananchi la leo limeandika kuwa Mhe Freeman Mbowe atasimamishwa katika Baraza la Maadili kesho 16 June 2011 ili kujibu tuhuma za kutowasilisha fomu zinazoonesha mali na madeni yake...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Jamani wana jf tembea uone, uangalie jinsi Tanzania ilivyo, nilibahatika kwenda kondoa miezi iliyopita hali ya uko hususan miundombinu ya barabara inatisha, mimi nilipanda basi la kondoa via...
5 Reactions
77 Replies
20K Views
Dk Slaa ang'ara urais Send to a friend Wednesday, 03 August 2011 23:11...
1 Reactions
79 Replies
7K Views
Tuko katika majaribio ya kurudi kwa mbwembwe zaidi na kijarida kipya kuelekea 2015. Kijarida cha "Cheche za Fikra" kilikuwa ni nuru ya kutupeleka 2010 na kilitoa mchango wake; kwa mashauri yenu...
14 Reactions
37 Replies
5K Views
Minael Msuya na Elizabeth Edward MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema Bunge la Jamhuri ya Muungano hivi sasa linapoteza sifa kwa wananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KILA anayesema hivi sasa anamtolea mfano Mwalimu Nyerere, sasa hayupo nani anayeendeleza na kukienzi chama kama ilivyokuwa wakati wake? Ili kuondokana na tabaka hili sisi wazee tunajipanga...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Katika kuonyesha wingi wa wabunge wa ccm unaweza wachinja watanzania bila kujali idadi yao ilikuwa hivi wanaosema imepita waseme ndiooooo....ndiiiiiiiioooooooooooooooooooooooooooo wanaosema...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Closed
CHUO KIKUU JWTZ KUANZA MWAKANI Habari Leo: 5 Agosti 2011 MNADHIMU Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulrahaman Shimbo amesema Chuo Kikuu cha Ulinzi wa...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Waandishi Wetu 3 Aug 2011 Toleo na 197 Ni kikao chao cha faragha Lumumba Zawahusisha Rostam, Chenge Kikwete awaokoa kiaina, sasa ‘wapumulia mashine’ KILE kilichoelezwa kuwa kilikuwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…