Mbunge Profesa Ngonyani aka Maji Malefu kafunguka kwa wabunge kuacha kuwatangazia jina baya waganga wa kienyeji baada ya kuwatumia kufanikisha ubunge wao,baada ya hapo uwachukulia...
Wanajanvi,
Nimeona kwenye facebook wall ya Heche Mkiti wa BAVICHA Taifa ikiwa na maneno yafuatayo. Nawasilisha.
BAVICHA tunasikitishwa na hali ya nchi.Hakuna umeme wala mafuta,utawala wa Rais...
Mbunge wa jimbo la Masasi (CCM) "Mariam Ruben Kasembe" ameamua kuudhihirishia umma ni jinsi gani haelewi umuhimu wa tafiti mbalimbali zinazofanywa nchini kwa kusema kuwa fedha zinazotumiwa kufanya...
Chadema haina pesa ya kuwalipa makada. CCM inajimaliza yenyewe kwa kuwatengenezea makada wapinzani wao. Makada hao - kwa kujua au kutojua na mchango wao kwenye mabano1. Wanafunzi waliofukuzwa au...
Hili ni swali ambalo ninajiuliza kila wakati, huenda hata wewe umeshajiuliza au unaweza kujiuliza kuwa hivi haiwezakani utaratibu mwingine wa kuongoza nchi ukabuniwa na kusabababisha nchi...
Wabunge wetu kwa siku za karibuni wanaonekana kama wamekosa ustarabu tuliouzoea toka chama kimoja na hatimaye vyama vingi vya (uwoga).
Nimesiikiliza kwa makini mitafaruku ya wabunge wetu mpaka...
Kwanza kauli hii ni kwa niaba ya sisi vijana 20, najua wapo wengine pia.....
Napenda kukupongeza kwa juhudi yako wewe pamoja na wabunge wengine kwa kuipigania haki yetu watu wa hali duni...
Pamoja na kwamba CHADEMA ni wazuri sana katika kujenga hoja na katika hotuba zao lakini natamani wana JF mjaribu kuweka maoni yenu hapa juu ya mambo ambayo ni muhimu wananchi wakayasikia siku ya...
Endapo tunataka kufanya mabadiliko inatubidi tuwe makini tusije fanya mabadiliko ya kumuweka kiongozi atakaye kuwa kioja, hivyo inatakiwa tuwe makini kwani upande wetu wa upinzani tunaudhaifu ya...
Imagine katika msimu huu wa JK, anajitokeza mtu kama NDULI IDD AMIN na kuanza kuishambulia, Tanzania isiyokua na balance ya mafuta, umeme, reli, ndege na meli zimezeeka.
Je wana JF...
Na Godfrey Ismaely
Dodoma
WAZIRI Mkuu Bw. Mizengo Pinda amekiri kuwapo mazungumzo baina ya ofisi yake na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu mgogoro wa umeya Arusha kutokana...
Nimevutiwa na dukuduku hili nililolifumania jana likitafutiwa ufumbuzi na mamlaka husika bila kupata jibu nikaamua kujaribu kutafuta ukweli wake mwenyewe kwa niliyoyasikia kwa kulinganisha ya...
Nataka kujua kesi ya utajiri wa mwana wa mkuu wa kaya Rizone imefikia wapi, baada ya magazeti kuandika kuwa ameifungua.
Kipindi hiki ambacho wauza mafuta wamesitisha kutuuzia mafuta wakita...
Hali mbaya na Matatizo yote ambayo wananchi wanayapata kwa sasa ni haki ya msingi.Hii ni kutokana na kutokuweka utaratibu(kikatiba na kisheria) kwa tunaowapa nafasi katika taasisi za uma...
Nimefinywa sikio toka chanzo cha uhakika kwamba madiwani waliotimuliwa na kamati kuu ya CDM watakwenda mahakamani kuomba zuio la mahakama dhidi ya uamuzi wa chama chao.Zuio hilo uenda likazuia pia...
Tunaomba updates za huko arusha!
Na wakati wakihutubia hao makamanda
mtujuze pia wanasema nini kuhusu kauli ya Pinda leo bungeni kwamba
"walichakachua kauli yake" kuhusu kuongea nae.
Pinda anadai...
Kumbe Mbowe na Dr Slaa waliofuata Pinda Dodoma, kuomba Muafaka!
Kawakana kasema CDM wametunga hayo maneno kuwa tumekubaliana na CDM kuanza mazungumzo ya mgogoro wa Madiwani wa Arusha.
Pinda...
MUNGU WETU ANATUPENDA NA ANAIPENDA TANZANIA. AMETUPA AKILI YA KUJUA MEMA NA MABAYA YA VIONGOZI WANAOITAWALA TANZANIA. SASA KWA SABABU TUMEJUA NA KUTUPA AKILI TUKAWA NA MAGEUZI YA KWELI NI LAZIMA...
Namnukuu Zitto kutoka huko ughaibuni
Zitto Zuberi Kabwe to wanabidii
s
Naomba nisahihishe tafadhali.
I am currently writing a PHD proposal and my admission depends on my the submission of...