Mbunge abeza tafiti na matangazo ya asasi za kiraia

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
497
236
Mbunge wa jimbo la Masasi (CCM) "Mariam Ruben Kasembe" ameamua kuudhihirishia umma ni jinsi gani haelewi umuhimu wa tafiti mbalimbali zinazofanywa nchini kwa kusema kuwa fedha zinazotumiwa kufanya tafiti nchini na taasisi mbalimbali ikiwemo Hakielimu zielekezwe kwenye kutekeleza miradi ya maendeleo na si tafiti hizo kutangazwa kwenye vyombo vya habari eti ZINADHALILISHA SERIKALI.

Hivi kuna mtu au taasisi inayoweza kutatua kimilifu tatizo ambalo halijulikani?
 
Something is very wrong with her...unless kama ana personal issue na hao hakielimu lakini ukweli ni kwamba nchi bado ina kiwango kidogo sana cha tafiti. na hatuwezi kuweka mipango yoyote ya maendeleo bila tafiti..
 
Kama kweli amebeza tafiti za asasi za kiraia basi uelewa wake wa mambo ni mdogo sana na hajui umuhimu wa tafiti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom