A train, transporting North Korean leader Kim Jong-il, arrives at Khasan Station after crossing the border between North Korea and Russia, near Russia's far eastern city of Vladivostok August 20...
*Maige amsimamisha mkurugenzi wanyamapori
*Msekwa ajibu tuhuma za ufisadi Ngorongoro
*Mgawo wa umeme walalamikiwa upya bungeni
Na Waandishi Wetu
SAKATA la kutorosha wanyamapori kwenda nje ya...
Kwa jinsi matokeo yalivo katika shule hizi za kata,...
Ni wakati sasa wa kutafuta ufumbuzi maalumu kuhusu elimu ya watoto wa Tanzania wasio na uwezo wa kusoma shule za kimataifa (International)...
Suzan Lymo ktk kipindi maswali ya papo kwa hapo kwa waziri mkuu bungeni alimhoji waziri mkuu Pinda kwamba, Ni lini viongozi wa dini wanaohusika na madawa ya kulevya ambao Rais alisema ana taaarifa...
Baada ya mbwembwe nyiiiingi....Mkurugenzi wa BP kufikishwa Mahakamani kujibu tuhuma za kukaidi Agizo la Serikali...mara tumesimamisha leseni ya BP kwa miezi mitatu kwa kukaidi Agizo la Serikali...
Kwako Eng. Nsiande.
Pole na kazi.
Binafsi napenda uniweke sawa jambo hili linalonitatiza.
Ni muda mrefu sasa wananchi wa sehemu mbali mbali wanalalamika kwa mgao wa umeme.
Wakazi wa Mwanza...
VITABU vya dini
vinatueleza kisa kimoja
kuwa enzi za utume wa
Isa bin Mariam (Yesu)
watu walikuwa
wakiwapiga mawe hadi
kufa wanawake
wanaobainika kuzini nje
ya utaratibu wa ndoa.
Katika...
Kamati Kuu ya CHADEMA inatajiwa kufanya kikao chake kesho katika jimbo la Igunga.Kikao hicho ni maalum kwaajili ya kupitisha jina la mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kuanza tarehe...
Kuna uwezekano mkubwa sana wa vyama vya CUF na CHADEMA, kuwa wasindikizaji katika uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Tathmini iliyofanywa mara tu baada ya kumalizika kwa zoezi la kura za maoni...
Thursday, 18 August 2011 22:24
Nora Damian
ALIYEKUWA Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro, anayekabiliwa na kesi ya kuomba rushwa ya Sh10 milioni, ameieleza mahakama...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa Arusha imetoa uamuzi mdogo wa zuio la muda dhidi ya mikutano ya Chadema kuwasema hadharani madiwani watano wa chama hicho waliotimuliwa.
Mahakama hiyo pia...
Katika mazingira ambayo kila kiongozi ni gamba la kuvuliwa agenda ya chama cha mapinduzi Igunga ni nini hasa? Ni nani ataokota jiwe na kuanza kumponda Rostamu. Kimsingi wananchi wa Igunga...
Wana Jf
Leo ni mwaka Mmoja toka CCM walipotutangazia Hussein Bashe Kada wa CCM alieongoza Kura za Maoni kuwa Si RAIA wa Tanzania,Cha ajabu yupo anashiriki vikao vya CCM na ni Kiongozi wa Chama...
what he said or forced to say and promise pale Dom mjengoni, was it a hoax?
Umeme kukatika kama kawa!
Mbagala saa hii umekatika without notice!
Ngeleja ajiuzulu, by giving a promise he can...
Leo Mh Mpendazoe atakuwa akihutubia wakazi wa mji wa Morogoro katika viwanja vya Kihonda maghorofani na kesho atakuwa viwanja vya nane nane,kutokana na mtoa habari wetu pamoja na kutafuta...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, amesema ili Tanzania ijiweke katika mazingira mazuri ya ushirikiano na nchi nyingine za Afrika Mashariki, lazima itende haki kwa raia wa nchi...
pengine sijui hasa maana ya maa
muzi magumu. Lakini mimi nadhani yafuatayo nayo ni maamuzi mag
umu ambayo ccm imeyachukua na kuna kila dalili ya kuendelea kuyachukua ambayo ni serikali chache...
Hivi,mimi nauliza,hivyo vibali wanavyo tumia hao wenye makampuni ya kukamata wanyama pori hai na kuwauza nje ya nchi,nani ameviandaa?,Hao jamaa,wametumalizia wanyama wetu,nimebahatika kusikiliza...
Saturday August 20, 2011
From PETI SIYAME in Sumbawanga, 19th August 2011 @ 23:00
POLICE in Rukwa Pegion have arrested two Chinese nationals for allegedly shooting and...