Godbless Lema - aliyekamatwa sio katibu wake ila katibu wake anaitwa Lucy Fransisco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Godbless Lema - aliyekamatwa sio katibu wake ila katibu wake anaitwa Lucy Fransisco

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpaka Kieleweke, Aug 22, 2011.

 1. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  barua ya Mhe.Mbunge Arusha.jpg Aliyekamatwa ndugu Gervas Mgonja ni kutokana na yeye gari yake ambayo huwa anaikodisha kukutwa eneo la tukio na hivyo ndio mkilichopelekea kukamatwa na hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Rco.

  Ni kweli huyu bwana aliwahi kuwa msaidizi/Katibu wa Mbunge ila tangu mwezi June aliacha kazi baada ya kupata kazi sehemu nyingine na hapa soma ushahidi wa barua iliyopelekwa kwa RPC kumtambulisha , hivyo kitendo cha magazeti ya Serikali na lile la CCM ni kuupotosha umma kwa lengo wanalolijua wao.

  Ikumbukwe kuwa ni huyu huyu Lema ndio aliwatetea sana polisi na hata kupelekea wadai posho walizokuwa hawapewi kwa kitambo kirefu na hivyo hili haliwafurahishi kabisa serikali na wakubwa wa polisi.

  Ikumbukwe kuwa ni huyu huyu Lema ndio alisababisha mpaka polisi na serikali kukubali kuunda mahakama maalum kwa ajili ya kuchunguza mauaji yaliyokuwa yanafannywa na jeshi la polisi kwa muda mrefu sasa.

  Ipo propaganda nyingine ambayo itakuja soon kuhusiana na Mbunge Lema Ama kubaka au kukutwa na madawa ya kulevya ama kulawiti wapo watu wamefuatwa ila na wao wamekuwa wakitoa taarifa hizo hivyo punde ushahidi ukikamilika utawekwa hapa na wale wanaohusika kuumbuka , stay tuned.


  Nimeweka ushahidi wa barua husika kama kiambatanisho.
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Asante kwa taarifa. Niliposikia nilihisi kuna faulo imechezwa.
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mkuu utakuwa sawa tu ikiwa watasema Katibu wa Zamani wa Mbunge Lema akamatwa kwa tuhuma za Ujambazi?
   
 4. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tunasubiri kwa hamu kubwa huo ushahidi najua kuna njama nyingi sana zinazofanyika ili kuzima ndoto za chadema kukamata uongozi wa nchi. Kinachofanyika sasa ni kukihusisha Chadema na matukio ya ajabu ajabu ili kiionekane hakifai mbele ya jamii.
   
 5. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Gamba akikusaka bwana hata boy friend wa housemade atajumlishwa katika tuhuma zako bora kukuchafua tu. Thanks kwa taarifa Mkuu
   
 6. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hili linawezekana katika uandishi wa habari hasa ukitaka kuiongezea habari yako attention kubwa kwa wasomaji. A CATCHING HEADLINE...Inakubalika Mkuu
   
 7. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona chadema inawaumiza watu roho?
  Ila watatafuta kila njia hawatafanikiwa kuiharibu daima chadema songa mbeleeee.
  Mungu yupo anajua wapenda nchi daima watafanikiwa.
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sikuzote huwa nasema kama kuna Mbunge wa CHADEMA alipo ukwaa ubunge alijua kazi imekwisha alijidanganya/anajidanganya kazi ndiyo kwanza inaanza na mpaka kufika 2015 kuna mengi yataibuka hasa Lema komaa na zaidi kuwa makini kuliko kawaida sisi wananchi wako tuko nyuma yako....
   
 9. THE PERFECT

  THE PERFECT Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikalikari inataka Kuibaka demokrasia... . hizo ndio siasa za majitaka now days magamba na media zao wanatumia Masaburi type kuwaza sijui kama tutafiaka kwa vyovyote vile PM anahusika kutupeleka huko!
   
 10. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nakupongeza kwa taarifa yako iliyojitosheleza. You are my Great Thinker
   
 11. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Nilijiuliza ila sikupata jibu

  Ajabu kweli...Safi sana wana mageuzi
   
 12. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha kuwa sawa hapa, hakuna uhusiano ila wakupotosha umma. Hata hivyo mapambano yanaendelea.
   
 13. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 940
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  HIi barua ilipokelewa?
   
 14. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Zilipokelewa na hata DC, RC, OCD na vyombo vyote ambavyo huwa vinafanya kazi kwa ukaribu na mbunge vilitaarifiwa ili ikiwa siku mbunge ameitwa mahali na kushindwa na hivyo kuwa na haja ya kuwakilishwa basi waweze kujua kuwa katibu halisi ni yupi./

  Kazi ni ngumu zaidio hapo mbeleni na haswa ukifanikiwa kuiona strategy ya kujivua gamba utajua nini namaanisha hapa.
   
 15. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,666
  Likes Received: 21,892
  Trophy Points: 280
  Peleka hilo swali kwa RPC Arusha.
   
 16. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Kwa namna hiyo hilo litakuwa sawa......Lakini maisha binafsi ya katibu wake hayan uhusiano na ubunge w a Lema. Ni kama vile ZOmbe alivyouwa wale watu halafu kuuwa kwake hakumhusu IGP
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi tangu niliposoma ile kichwa cha habari nilijua hakika kuna ki2 kilijificha nyuma! Ccm janga kwa Taifa!
   
 18. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #18
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  [video]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=35794&d=1314008474[/video]
   
 19. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Historia inawaza kumuhukumu mtu Je lema alikuwa anashilikiana na majambazi na huyu katibu mkuu?
   
 20. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwani yeye Msekwa ashirikiane na majambazi?
   
Loading...