Bendera ya Gadaff ni ya ccm? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bendera ya Gadaff ni ya ccm?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Aug 22, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele wanajamvi!

  Hivi hii bendera ya Gadaffi ni ya ccm? au kunausiano wowote kati ya bendera ya ccm
  na bendera hii ya Gadaffi? Maana ile bendera nyingine inayopeperushwa na wananchi
  waliowengi ni mzuri sana na inavutia, so kwanini Gadaffi naye akutumia bendera ile na
  badala yake anatumia the same flag color na ccm? Au rangi ya kijani imelaaniwa?

  Karibuni futari wandugu!
   
 2. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukimtazama kenge unaweza sema ni mamba but ukifuatilia mazingira yao wanayoishi utagundua kitu.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280

  Kijani ni rangi ya muslims nationals lazima kuwe na kijani...

  Kijani ni rangi ya bendera ya Africa Union pia..

  simply green colour is blessed
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Jamani wewe Umezaliwa Mwaka Gani? Hii Article haifai kwenye Jamii Forum it does not worth it

  Na Unajua Libya iliisaidia Uganda kupambana na Tanzania...
   
 5. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kijan kinawakili cha arusha
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wenye bendera za kijani mwaka huu wanalo.mia
   
 7. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa sijakuelewa....naona kama umenitega fulani hivi
   
 8. j

  janja pwani Senior Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  rangi ya kijani ni rangi ya peponi, hata bendera ya uislam ni rangi ya peponi.
   
 9. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na kwanini bendera ya Gadaffi iwe kama ya ccm?
   
 10. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kijan kinawakili cha arusha
   
 11. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa kama imebezi kwenye uislaam'kwanini watu waitumie kwenye vyama vya siasa?
   
 12. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  The GADDAFFI AND HIS ALLIED FRIEND Gaddafi_2.jpg
   
 13. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red ni nani aliibariki?
   
 14. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Duh hii kali peponi kumbe ni kwa kijani? Hebu paint nyumba yako kwa rangi ya kijani then uone kunakuwa vip....vp tena wale wanaotumia rangi wa kijani wawe infirior kwa makafir hadi wanapewa kichapo kama mende?
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 16. t

  tweve JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kama rangi ya kijani ni rangi ya mataifa ya kiislam.sa kwanini ccm nao wanaitumia? Au ccm ni chama cha kidini?
   
 17. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Kwanini waasi wa libya wanaonesha vidole viwili?
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Naamini saana in freedom of expression... hasa kama mtu kawa wazi na kueleza
  analofikiri na kuamini... However inapokua kua lililokua presented limekua presented
  in a semi-serious way and in a serious forum, hua personally naona ni taizo... for
  hio kijani umehusisha inchi ambazo zoote zina matatizo beyond hio colour... thus
  naona kama you are diverging from the real issues to be discussed...
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Brazil nao bendera yao ni ya kijani tunaomba ufafanuzi!
   
 20. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  hapa nitakuwa sijakupata fresh!

  unamaanisha kijani ndo uislamu?

  sasa kwani tanzania niaya waislamu mkuu?

  be serious boss, dont mix up ideas concerning religious maters and those of pollitics
   
Loading...