Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

Arafat

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
2,581
758
Tetesi zinazoaminika ni kuwa Polisi nchni nzima wameweka Mgomo Baridi kupokea hile Posho ambayo Bunge waliambiwa ni Tsh.150,000 wakati wao wanapewa Tsh.100,000, Mgomo umeanza tokea tarehe 15 Mwezi huu baada ya kutolewa posho ya August, wamegoma kupokea wamekubalia kutokupokea hiyo fedha nchni nzima hadi kieleweke.

Thathimini inaonyesha Polisi watakuwa na mass vote kwa Chadema 2015 kama msimamo wao utaendelea kama ulivyo hivi sasa. wamesema wapo tayari kufanya kazi bure bila hiyo Posho.

Neema inanukia maana wakianzisha Polisi nadhani na Jeshi watafuta sisi tutabaki na kazi ya kupiga makofi tu! Hongereni sana Polisi nyie na Waalimu ndio mmekuwa Mlima unaotushinda kupanda kila mwaka.

Mpaka kieleweke. Huu mwaka ni wa wanyonge. Polisi kazeni buti. Tuko pamoja til kieleweke.

Polisi mbona cku nying wako upinzani fuatilia matokeo ya uchaguz kwenye kambi mbali mbali za polisi

If seriously they stik at it,,hakika utakuwa ndo ukombozi wao. these people wanafanya kazi ktk mazingira magumu sana unfortunately for decades imekuwa ni kwa maslahi ya wakubwa (brass) wachache ndani ya jeshi lao na serikalini. kazeni buti watu waache kuwapigia siasa kwenye mambo ya msingi

Tetesi zinazoaminika ni kuwa Polisi nchni nzima wameweka Mgomo Baridi kupokea hile Posho ambayo Bunge waliambiwa ni Tsh.150,000 wakati wao wanapewa Tsh.100,000, Mgomo umeanza tokea tarehe 15 Mwezi huu baada ya kutolewa posho ya August, wamegoma kupokea wamekubalia kutokupokea hiyo fedha nchni nzima hadi kieleweke.

Thathimini inaonyesha Polisi watakuwa na mass vote kwa Chadema 2015 kama msimamo wao utaendelea kama ulivyo hivi sasa. wamesema wapo tayari kufanya kazi bure bila hiyo Posho.

Neema inanukia maana wakianzisha Polisi nadhani na Jeshi watafuta sisi tutabaki na kazi ya kupiga makofi tu! Hongereni sana Polisi nyie na Waalimu ndio mmekuwa Mlima unaotushinda kupanda kila mwaka.

tetesi yako nzuri sana ila umechanganya na siasa ambapo kido italeta mada mpya tofauti na mgomo wa polisi amini nakuambia we subiri utaona..

Next ? Serikali yetu sikivu wataenda kukopa ili kupata hiyo iliyopelea. hamna shida wamefanya kwa bajeti ya uchukuzi watafanya kwa mengi. tatizo ni kutawala kwa kuitikia mashinikizo.

Tetesi zinazoaminika ni kuwa Polisi nchni nzima wameweka Mgomo Baridi kupokea hile Posho ambayo Bunge waliambiwa ni Tsh.150,000 wakati wao wanapewa Tsh.100,000, Mgomo umeanza tokea tarehe 15 Mwezi huu baada ya kutolewa posho ya August, wamegoma kupokea wamekubalia kutokupokea hiyo fedha nchni nzima hadi kieleweke.

Thathimini in
aonyesha Polisi watakuwa na mass vote kwa Chadema 2015 kama msimamo wao utaendelea kama ulivyo hivi sasa. wamesema wapo tayari kufanya kazi bure bila hiyo Posho.

Neema inanukia maana wakianzisha Polisi nadhani na Jeshi watafuta sisi tutabaki na kazi ya kupiga makofi tu! Hongereni sana Polisi nyie na Waalimu ndio mmekuwa Mlima unaotushinda kupanda kila mwaka.

Wewe unaona upinzani ni chadema tu, chama maslahi(by shibuda), chama cha wezi (by zombe)

Polisi kama wasimamizi sheria( Law enforcers) hawana budi kusimamia haki zao na kuhakikisha hawanyonywi ndipo watasimamia haki zetu sisi raia.Vitisho na utii wa sheria kwa vitisho umepitwa na wakati.POLISI AMKENI KUDAI STAHILI ZENU IPASAVYO.

Mnadanganyana tu wakubwa. Polisi wa nchi gani hao wanaoweza kutia mgomo? Hawa polisi wa Tanzania ninaowafahamu mimi? Kama wanajeshi tu wananyanyasika lakini wanaendelea kuwa watiifu kama mbwa mbele ya anayemlisha, watakuwa polisi?

Hakuna polisi mwenye ubavu wa kutia mgomo baridi au mgomo moto.

wewe unaona upinzani ni chadema tu, chama maslahi(by shibuda), chama cha wezi (by zombe)

Zombe ni mwizi, jambazi na muuaji..yuko huru sababu tu tz hatuna utawala wa haki na sheria kwa watu wote. Shibuda ana mtitindio wa ubongo. So hawawezi kuwa reference ya argument yoyote ile, unless na ww you have something in common with them.

Mnadanganyana tu wakubwa. Polisi wa nchi gani hao wanaoweza kutia mgomo? Hawa polisi wa Tanzania ninaowafahamu mimi? Kama wanajeshi tu wananyanyasika lakini wanaendelea kuwa watiifu kama mbwa mbele ya anayemlisha, watakuwa polisi? Hakuna polisi mwenye ubavu wa kutia mgomo baridi au mgomo moto.
Pamoja na kwamba ni tetesi lakini kwa mazingira na hali halisi ya bongoland ni vigumu sana jambo kama hilo kutokea kwa ndugu zetu hawa wa jeshi la polisi. Labda tuambiwe wananung'unika kwa kupunjwa posho hapo nitakubaliana na taarifa hii.

wewe unaona upinzani ni chadema tu, chama maslahi(by shibuda), chama cha wezi (by zombe)

Jaribu kuweka akili yako na mawazo yako nje ya JF utajuwa Ukweli na ukweli ndio utakao kuweka huru Polisi hawapo Mbinguni kujuwa mawazo yao, acha ushabiki na fuatilia maana husipo ujuwa ukweli hata kama unaichukia CDM hutaiweza kupambana nao maana hutajuwa nguvu na weakness yake.

Mimi ni CCM lakini sina budi kujuwa ukweli na kuongea na kila Mtanzania kujuwa hatima ya CCM ipo wapi?

Wao majority ya Polisi ninaoongea nao wanasema hata uchaguzi uliopita hawakuipigia CCM kura na huo ndio msimamo wao, na ndio maana Mauwaji ya Arusha Mwema alitoa wanafunzi wa Polisi ambao hata hawatahitimu kufanya hayo mauwaji inasemekana kama ni Polisi wa siku nyingi wasinge fanya yale mauwaji.

Pamoja na kwamba ni tetesi lakini kwa mazingira na hali halisi ya bongoland ni vigumu sana jambo kama hilo kutokea kwa ndugu zetu hawa wa jeshi la polisi. Labda tuambiwe wananung'unika kwa kupunjwa posho hapo nitakubaliana na taarifa hii.

Hawajapokea na fedha imetoka ila hawaitaki mpaka iongezwe wamekubaliana kutoichukuwa wote nchni nzima.

Kama unavyosema labda mgomo baridi unaweza kuganda au kuyeyuka.

Mnadanganyana tu wakubwa. Polisi wa nchi gani hao wanaoweza kutia mgomo? Hawa polisi wa Tanzania ninaowafahamu mimi? Kama wanajeshi tu wananyanyasika lakini wanaendelea kuwa watiifu kama mbwa mbele ya anayemlisha, watakuwa polisi? Hakuna polisi mwenye ubavu wa kutia mgomo baridi au mgomo moto.

Yana mwisho ingawa hatuombei

Back
Top Bottom